Nimeacha drama rasmi

Nimeacha drama rasmi

Mzee wa VAR The Icebreaker kijana katubu huku naona upper cut chemba kidevu zimemlemea 🤣🤣

I don't want peace, I want problems
1000143332.jpg
 
Popote ukiona battle nishtue mtu wangu

Na ninavyomjua mtoa mada siku si nyingi atarudi kwenye batle kwasababu si mara ya kwanza kuahidi anabadilikq lkn mwisho wa siku anakiuka kauli zake
We usijali mkuu, nikiona hakuna wanaobattle basi Mimi mwenyewe naingia kazini kubattle na mpenda fujo yeyote humu.

Nina uzoefu mkubwa sana katika kurusha makombora ya kibalistiki.
 
It's time to be the big brother..

Poleni sana kwa wale wote nilio wakwaza... Kuna watu mpaka wameniweka ignore list kisa majibizano ya hapa na pale..

Binafsi ni mtu ninayependa sana battle, ila umefika muda sasa wa kuanza kuonesha am more than that,

to all those people who try to spark a war with me.Trust me, Nime badilika sasa, I'll never engage with y'all. Ni muda wa kuwa constructive pekee... Nimegundua kuwa greatness doesn't seek approval

One good habit, is knowing how to humble yourself... Because a man isn't respected by their words, but their actions.
Ikiwa umeacha drama basi umekuwa😀
 
Nimekuona naona unapitia mabadiliko makubwa, hongera.
 
Back
Top Bottom