Mkuu kila jambo lina chanzo chake na ukijua chanzo cha kitu ndio uhalisia wake, mfano mimi mtu niliumbwa kwa sura na mfano wa Mungu hivyo chanzo changu ni Mungu na uhalisi wangu unatokana na yeye, ili niweze kuishi na kutimiza kusudi lake katika dunia hii ili nipasa niwe na mwili wenye kuendana na nature ya ulimwengu huu, hivyo nikafanyika mwili kisha akanipa nafsi ya uhai( pumzi), ambapo ikawa kiunganishi kati yangu mtu(halisi yangu) na mwili(asili yangu). Hakuna kitu kinachoweza kuwa chochote, halisi ya kitu haibadiliki kamwe.Hajasema anawezza kuwa kitu, amesema anaweza kuwa chochote. Labda mimi ndio sijaeleza vizuri. Yaani yeye anasema anaweza kuwa chochote ukitakacho wewe, sababu kuu, haonekani, mimi sijamuona mpaka leo. Kwa hio hapo ni fikra zako tu, ukifikiria mti unaongea na wewe, kwake sawa, ukifikiria jini anaonea na wewe kwake sawa, ukifikiria mtu anaongea na wewe kwake sawa.
Lakini mbona niliandika mwenyewe anasema yeye ni mtu. Au nimbishie hilo?
Hilo la kila kitu "lina uhalisi": wake sijakuelewa. Huo uhalisi unaupata kwa kuuona, kuusikia, kuusoma au vipi? Uhalisi wako wewe ni upi> Mimi siujui.
Simba.
Una kitu fulani hivi cha ziada 👏🏾ndio kwanza nayaona maswali yakobaada kunistua. Ngoja nijibu moja moja.
AlhamduliLlah, sijawahi kufikiria kuhudsu uchumi binafsi toka zizliwe, nimekikuta kila kitu kipo kwetu.
Binafasi kwa sasa nina familia ya wake wawili na watoto sita. Kila mmoja anakaa nyumbani kwake.
Nina fanya biashara ya kutengeza magari, kwa sasa mimi naelekeza tu vijana. Nina duka la spea za magari vifaa vya umeme tu wa magari (electrical system) vipya na used. Vyote ka gari ndogo na kubwa za aina yote. kama sina spea, nakuagizia faster kutoka nje ya Tanzania. Uzoefu wa miaka mingi, kuanzia ma control bocx mpaka clips za umeme wa magari. Duka langu limezoeleka sana na wanunuzi wangu wakubwa ni mafundi umeme wa magari, hapo tabata.
Similiki gari, sijawahi kumiliki lakini ni zangu, kwa maana natumia za mama, baba na wake zangu. Sijaona umuhimu wa kumiliki gari langu binafsi.
Sina mali sina akiba benki, sijawahi kuhitaji. Mali za shamba la babu yangu, zinazomuhusu babangu mimi nnazishughulikia lakini ni zake hazihiusu, isipokua mwenyewe ananipa safdaka yake apendavyo kwa kumfanyia kazi zake.
Huwezi kuamini, sijawahi kununua chakula nyumba zangu zote mbili. Chakula mpaka leo kinatoka kwa wazazi wangu na uzee wangu. Nikinunua kitu labda ni zawadi nikisafiri. Nashukuru Mungu nimepata wazazi wema kabisa. Mwenyezi Mungu awaweke. Mimi na babangu mzazi ukituona utafikiri ni mtu na mdogo wake, mama yangu ndio kabisa, hata enzi za babu nje nje, yeye ndio nilikua naenda nae kama partner wangu. Sasa basi tena mambo hayo. Nimetubu.
Natumai nimekujibu kuhusu uchumi. Kama kuna lingine, uliza tu.
Simba.
Vijiti hakuna hata kimoja, miaka mingi sana sijatumia. Nilifundisha namna zingine na Arsis.Arsis vile vijiti vya dawa unaloweka ndani ya wiki halafu unapaka na kunywa vinapatikana/unavyo kwasasa?
na kama hutojali hiyo dawa ya ngozi inaitwaje au inapatikana wapi?
Arsis; Usilaumu na usilinganishe Wakristo na Waislam, linganisha Ukristo na Uislam. Wewe fundisha elimu yako, wao wafundishe elimu yao, wote tupate elimu.Asante mkuu
kuna maswali niliuliza kuhusu utatu mtakatifu hapa sijapata aliyejibu hata mmoja yaani wakristo wanapenda mambo mepesi mepesi tu ukienda deep kidogo tu juu ya imani yao wanakwepa.
ety wakristo Mbona sisi waislamu mnatusimanga tunafuga majini lakini tupo hapa na tunawajibu tu, Muda mwingine Arsis anaongea mambo yanyopingana na quran lakini tunamsikiliza huenda katika maneno yake ukapata faida.
Arsis; Kipindi cha nini? Unapata attention hapa 24 hours unataka kipindi? Why?Safi, basi weka kipind au uanzishe uzi mwingine ili usiingiliane na huu uwe unaelezea Dawa na inatibu nini, ili walau huyo kiumbe wa fimbo watu wa jF wafaidike nae,
unaeza elezea ugonjwa huu na huu Dawa yake ni hii hii, au ukichukua hiki na hiki ukafanya hivi kinatibu hivi hapo kwa week mpaka mwezi utakua umefanya kazi kubwa sana na ndipo tutaona ufanisi na hakika wa habari zako
Mkuu tuendelee na story...Arsis; Kipindi cha nini? Unapata attention hapa 24 hours unataka kipindi? Why?
Simba.
Arsis; Kwani tukiongea kiheshima kuna tatizo?Hapa unamaanisha ulikuwa unakula/unamtomber Mama yako kabla ya kutubu?
Arsis" Raptha ipo Kilwa. Kila mahali duniani ipo miji chini ya bahari. Inaangamizwa, nenda Lamu, unaona mji upo chini ya bahari, maji meupe kabisa kila siku, hata vumbi hakuna. Uliza jirani waytu wa Lamu kwanini? Uliza kwanini wengi wanakimbia Lamu mpaka leo, wanaitwa wagunya, wamejaa Mombasa, Tanza, Pemba, Ungja, Mwanza Dodoma, Somalia. Dar. why?Bwana mkubwa, katika posti zilizopita Arsis aligusia time travelling, naomba atupe elimu kuhusu time traveling, pia alitaka Kuna miji kama Rhapta na mji mwengine upo mtwara ilizama je, kwanini miji hiyo ilizama?
Arsis; Nyinyi mnapenda kushusha tu. Mbona hakuna maswali, hakuna nyinyi kueleza mmesoma nini? Hapa sio starehe, hapa ni elimu. Fundisha wewe unajua nini? Kushusha tu?Shusha episodes zingine tena mkuu
Mpaka kukuche
Sisi tunawaona kama vile wanafaidi sana maisha na kila mtu anatamani ingekuwa yeye, nakwambia watu hawa huwa wanatamani kuwa huru kama sisi lakini hawawezi. Ni neema ya Mungu tu ndio itawatoa huko na si vinginevyo. Shetani kweli ni baba wa uongo.Dah hatari Sana, kwa hiyo huwez kufafanua kwa faida ya wengi.
Yale hayajibiki,kwasababu ukijibu hakuna utatu tena mtakatifu.Asante mkuu
kuna maswali niliuliza kuhusu utatu mtakatifu hapa sijapayata aliyejibu hata mmoja yaani wakristo wanapenda mambo mepesi mepesi tu ukienda deep kidogo tu juu ya imani yao wanakwepa.
ety wakristo Mbona sisi waislamu mnatusimanga tunafuga majini lakini tupo hapa na tunawajibu tu, Muda mwingine Arsis anaongea mambo yanyopingana na quran lakini tunamsikiliza huenda katika maneno yake ukapata faida.
Arsis: Huyo sheikh wako hana elimu nzuri hata kidogo, mwambie jana nimejibu arsh ni nini hajaelewa? Hao watumishi aliwaweka yeye?Hii ni Part One Bwana Simba una majibu yako na Maswali Etugrul Bey ikijibiwa nishtue.