Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Aliwaumba ndio pamoja na viumbe wengi wengine wenye kuonekana na wasioonekana. Ndiye boss wa wanadamu na majini yote pamoja na mashetani wote. Huwezi kuwa na hao mnaita maruhani ukataja Jina la Yesu alafu maruhani yanaendelea kukupenda. Jaribu hilo.
Halafu hao hao mmoja wao katika aliowaumba akampanda kwa siku 40? Hivi alimpanda kichwani yule shetani au alikuwa akipiga nae misele kwa siku 40?
 
Duh hatimaye tumefika sehemu tarajiwa.
Mmepiga marketing nzuri.
Hongeren nimependa jinsi mmeipeleka hii biashara
 
Tufafanulie ni sehemu gani hauwezi kuingia nao? na ikitokea umeingia sehemu isiyohitajika adhabu yake ni ipi?
 
Tufafanulie ni sehemu gani hauwezi kuingia nao? na ikitokea umeingia sehemu isiyohitajika adhabu yake ni ipi?
Hayo ni masharti unayopewa ukipewa huo mizi niliopewa mimi. Kqanza nikueleze unapowea kuutumia; Kujikinga na wagtu kama wanataka kukudhuru. Kupita sehemu ambayo unataka usionekane kwa kuhofia usalama wako. Kujificha na wachawi wasikuone.

Usilotakiwa kufanya nalo, ni kuutumia kwa uhalifu. Kuutumia kwenda kufanya uchawi. Kuutumia kutorosha mke wa mtu au mtoto wa mtu au kumtorosha mhalifu jela.

Madhara yake ataonekana au kama hakuonekana ndio hupewi tena kuutumia. Au majini waliokupa wanaweza kukuchapa kwa kukiuka mashrti.

Dawa za majini wema zina masharti mema. Huo mti wenyewe upo, babu yangu alikua anaujua na sasa shangazi anaujua. Mimi ndio siujui mpaka nipewe tu mzizi wake.
Simba.
 
Nyie mnatafuta pesa toka kwa watu wepesi kuwachota akili.
Kuna visa vya kutunga (fictional) vingi mno kwenye simulizi yako. Tena vyote ni uzushi.
Hapa hatukuaminishi kwa kisa chochote. Ni matukio niliokutana nayo mimi binafsi, Mimi sio mganga wala mchawi.

Hizo pesa hapa kwa uzi kama huu nazitafuta vipi? Nifundishe na mimi, sina ujuzi huo.
Simba.
 
Hapa hatukuaminishi kwa kisa chochote. Ni matukio niliokutana nayo mimi binafsi, Mimi siio mganga wala mchawi.

Hizo pesa hapa kwa uzi kama huu nazitafuta vipi? Nifundishe na mimi, sina ujuzi huo.
Simba.
*Umeambiwa ukawasaidie masikini na matajiri.
*Kunywa na kuoga miti shamba(dawa) ulizopewa na jini ili kujikinda au kusafisha uchawi uliolishwa mighahawani.
*Arsis ni Mason lakini kiumbe/jini/mtu wa mambo ya dini.
*Kuona wateja wabaya au wasiokuwa wanadamu wanaokuja kwenye biashara.
*Kupata mavuno mengi ya kamba kuliko wengine.
*Kutibu ugumba kwa wanawake wanao andamwa na jini mahaba.
Orodha ni ndefu, wenye akili wanajua itatumikaje hiyo orodha ya matukio ya uwezo wa arsis.
Hapa utawapata wengi tu.
 
Ameamua kuwa stiri basi atakuwa na sababu zake.
Anyway kama kuna mwanga humu aache na atubu kuna siku tutatolewa roho jamani.
Al maut haqqu
Arsis hafanyi hivyo hata siku moja.

Kuna siku nilikutana na Srsis akanambia yule mtu ulikua nae jana jichunge nae sana. Sikumuelewa kwa siku hiyo mpaka baada ya wiki mbili hivi. Kumbe ni kijana jambazi mkubwa sana, tulikua nae Ilala tukawa marafiki miaka mingi, kumbe kajiingiza kwenye ujambazi na kishafanya matukio anatafutwa na polisi. Nikaja kusikia kapigwa risasi alikua anawakimbia polisi huko magomeni, waltonywa yupo bar na ma informer wao, wakaingia hakukubali kujisalimish akatupiana nao risasi wakammaliza. Madomeni hilo tukio ilikua kama sinema.

Niliposikia nikawa najifikiria ningekua nae wakati mapolisi wamemuona si ndio ingekeua na mimi na yangenikuta majanga.
Simba.
 
Hiyo tafsiri yako ya kujifurahisha moyo wako. Basi natajirika mwaka huu.
Simba.
 
Kwaiyo udongo unaweza kutibu saratani ya ngozi?? Au Mimi sijaelewa.

Mwambie arsis aoe au yeye akikaa single hapati tamaa?
Ndivyo alivyonambia Arsis.

Kuhusu Arsis kuoa, niliwahi kumuuliza, hakupenda kuliongea swala hilo, Nikaliwacha kama lilivyo.
Simba.
 
Simba muulize Arsis kuhusu ismullah liadwam tuliishia njiani alinambia nitafute idadi ya sura zinazoanzia na Alif Laam Miim.
Nimepata ni sura nane.
What next?
Arsis
 
Uzi wako Simba toka day 1 mpaka leo umesema mengi na kiumbe wako.
ENatamani utuelezee amekufanikisha vipi kwenye maswala ya Uchumi mpaka sasa upoje na unamiliki nini?

vipi kisiasa?
vipi ki elimu ya Darasani umesoma mpaka Elimu gani maana kama ukimtumia huyo kiumbe ki elimu ya Darasan huenda ungekua na Phd sasa au mtu flan mkubwa nchi hii.

😄🤗 halagu wagusie vijana wa Rick boy kama kale ka stor ulikogusia ka mama mdogo emu huto pia uzungumzie kwa namna gani viumbe wamekusaidia
 
Pia Simba emu zungumzia tiba.
mfano kama ulivyoanza habari ya huo udongo, sasa anza kusema ukiwa na tatizo hili na hili tumiq hiki na kile, au kuna mti flani au dawa flani inatibu mambo haya na haya na haya.
watu watajatibu humu wataleta mrejesho na baada ya week au mwez watakua wamenufaika sana na hafithi zako zaidi kuliko habari za kamba na mapango au majibizano ya hapa na pale ya wewe na wasomali wa Tanga na stor zako na Arsis maana haya watu hatuwez kuthibitisha na hayana impact ya moja kwa moja kwa watu
 

Arsis nataka kufahamu alipo AISHA BINTI AFRIT
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…