Nafurahi umekiri Kristo wapo wengi. Hao wengi kwanini waliitwa Kristo?Kama unazungumzia waliopakwa mafuta, kweli waweza kuwa wengi, ila Kristo ni mmoja
Huwa inatangulia akili kwanza. Akili imezaa elimuDah... Imani ikitangulia kabla ya elim ndo madhara yake haya, huwa inatakiwa ianze elim baada ya hapo ndo ifate imani
Sio kisu. Sema jambia 😁. Wanakutenga kisha wanakuuliza kama we wa Mtume au wa Kristo. JihadTena walikua na kisu cha moto chakuipakia hio siagi, kiulaini kabisa.
Hio inaashiria watu walikua na njaa ya elimu.
Simba.
Si unajua hata miungu iko mingi? Ila kuna Mungu. Nyie mnamwita Allah. Hivi kuna allah pia? Yani vi allah vidogo vidogoNafurahi umekiri Kristo wapo wengi. Hao wengi kwanini waliitwa Kristo?
Hili suala kwa mtazamo wangu hata Waislam wata vimba, misimamo yao kuhusu Ksristo mimi naiona inaenda kinyume na Qur'an.
Simba.
Hivyo unavyosema wewe vinaitwa iIlah Kiarabu siyo Allah. Allah ni mmoja tu.Si unajua hata miungu iko mingi? Ila kuna Mungu. Nyie mnamwita Allah. Hivi kuna allah pia? Yani vi allah vidogo vidogo
Inawezekana ndugu yangu Mimi pia nilisumuliwa ni suala la elimu zaidi, ukweli hupo ndani ya elimu lakini uhalisia ni kile tunachokiona kwa macho ya kawaida, tofautisha ukweli na uhalisia kwa kutafuta elimuUzi ulikuwa unashuka vizuri ila hapa umezidisha
Kagera hadi Mtwara anakubeba pamoja na gari lako kwa dakika 3, 🤣🤣🤣,
hakuna haja ya kuweka mafuta kwenye gari,..
hii ngumu kumeza, inakataa kabisa..
nasoma uzi kama vile naangalia katuni
View attachment 3072158
Nimesema hivi, wapakwa mafuta yawezekana wapo wengi. Wapo manabii, wapo mitume, wapo wafalme pia. Wote hao hawakutambuliwa/shwa kama Kristo. Kristo Yesu ni mpakwa mafuta wa Bwana. Mbona kabla ya hao waliotangulia kupakwa mafuta hawakuwa na wafuasi? Wapo kina Daudi, Cyrus, Haruni, n.k. Ni Yesu pekee kupitia ujio wake na mafundisho yake leo hii ulimwengu umemjua Mungu wa kweli kupitia yeye.Hivyo unavyosema wewe vinaitwa iIlah Kiarabu siyo Allah. Allah ni mmoja tu.
Umeulizwa juu hapo kuhusu Kristo, nimeona umekubali kuwa wapo wengi.
Usibadili nagoli. Arsis kajuminyw kabari ya koo kiulaini kabisa. Naufatilia mjadala kwa karibu sana. Tena nimeona juu hapo alikuonya.
Inaonyesha haupendi madaraka mkuu ila madaraka yanakupenda.Ha! Hivi hujanisoma humu kua pale ndio lango la kwenda dunia zingine? Na pale jirani ndio kituo cha kukutana na Arsis?
Mule Ikulu kuna mambo makubwa sana kwa kujulisha tu, Sina ujuzi napo zaidi wala siruhusiwi kuuliz ya mule ndani, Naogopa.
Jambia zinapaka sigi, habari mpya hii kwangu.Sio kisu. Sema jambia 😁. Wanakutenga kisha wanakuuliza kama we wa Mtume au wa Kristo. Jihad
Ndugu wewe ni wa Tanga?Mkuu Samahan I! Nina changamoto kubwa kulingana na namna ulivyoeleza na majibu ya arsis nimekua interested sana huenda nkapata nusra kupitia kwenu na sheikh bakora
Nina changamoto ya jini ambaye hunifanyisha zinaa ndotoni tangu nikiwa secondary mpaka hivi sasa ingawa nmebahatika kuoa na nina watoto lakini nimewahi kuota naambiwa napendelea familia yangu wakati nina mke na mtoto na mwanamke nisiyemjua ndoton akanionesha na mtoto wa kike na tangu kipindi hicho nmekuwa nasumbuliwa na upingufu wa nguvu za kiume Pamoja na kufanya sana ibada na kufanyiwa ruqya lakini bado hali ipo.
Siku 1 nikaoteshwa kwenda kwa mganga wa kupunga majini kuwa atamaliza tatizo langu nikaenda kweli kwa huyo mganga ajabu kufika anadai ni jini mzuri wa utajir anafanya vitimbi ili nijue yupo na nikubali kula chano!! Nilipouliza chano ni nini akasema kazuiwa asiseme katu ila ninunue mbuzi ili afanye kazi hoyo
Kulingana na maelezo yako ni kuwa chano hufanywa na majini wa kichawi naweza kusadiki hilo kulingana na vitimbi vyake kuanzia kukubbania katika rizki,mahusiano na mambo mengine.
Ombi nimefanyiwa ruqya mara nyingi tu bila mafanikio na yule mganga wa kishirikina anasema siwezi mtoa jini huyo kwakua kanipenda,sio mchafu na ana nguvu kubwa kiasi akitaka utaona kama jini mahaba au umerogwa na yeye adionekane unaweza kunisaidia vipi kwa sheikh bakora kukabiliana nae ili atoke niwe salama mimi na familia yangu kwa vitimbi vyake kwa maana naambiwa atanipa pete nyekundu baada ya chano ingaww sijui maagano yake.
Hiyo juhudi ilikuwa si mchezo na bado si lelemama. Hii IS inaendeleza huu uhuni in the name of Allah.Jambia zinapaka sigi, habari mpya hii kwangu.
Mimi wa mitume yote pamoja na Masih Issa akiwemo, ambae wengi wanatafsiri kristo, unafahamu kua Kristo inatoka kwenye neno la Kigiriki?
Tafsiri yangu mimi ya neno Masih au Kristo ni tofauti kidogo, yeyote ataependa kuijua anambie tu.
Jihad kwa Kiswahili ni juhudi, wewe hufanyi juhudi unapokata siagi kwa jambia?
Simba.
Mie mbona nilimaliza hilo ulipokiri kua wapo wengi, mengine hayo utayosema mimi ninachota elimu, sipo hapa kuwachambau wala sina muda wa kuwachambua huyu alifanya nini yule alifanya nini, mimi hawapo wote hao kwenye Qur'an, yupo mmoja Masih Isa bin Mariam ambae naamini ndio nyinyi mnawita Yesu Kristo.Hiyo juhudi ilikuwa si mchezo na bado si lelemama. Hii IS inaendeleza huu uhuni in the name of Allah.
Nafahamu na nimepitia rejea kuhusu Masihi na Kristo. Nachojua hakuna jina lililotoka hewani, maana Adam alipewa jukumu la kuwapa viumbe majina. Hivyo.binadamu alitoa majina kwa vitu kulingana na mazingira yake. Hivyo sitashangaa kwa Christos kuwa ni neno la Kigiriki. Ni title. Walikuwepo waliotangulia kupakwa mafuta ila ni Yesu pekee ndiye aliyelibeba kwa upekee jina (au cheo) la Kristo. Nitajie labda ni nani mwingine aliyebeba jina hilo katika uwepo wao. Kwamba alikuwepo Kristo Haruni, akaja Kristo Daudi, hadi akaja Kristo Yesu. Hapo utakuwa nami umenielewesha maana naweza kuwa nisijue hayo
Kristos kwa maana nyingine ni mpakwa mafuta wa Bwana. Pamoja na kwamba waliotangulia walipewa cheo cha Messiah, bado hakikuwapa hadhi ya Yesu. Kama ambayo nilisema tena kuwa hata Mungu anajua kuna miungu. Hivyo kuwepo Kristos wengine sio hoja sanaMie mbona nilimaliza hilo ulipokiri kua wapo wengi, mengine hayo utayosema mimi ninachota elimu, sipo hapa kuwachambau wala sina muda wa kuwachambua huyu alifanya nini yule alifanya nini, mimi hawapo wote hao kwenye Qur'an, yupo mmoja Masih Isa bin Mariam ambae naamini ndio nyinyi mnawita Yessu Kristo.
Isipokua hujanijibu kwa nini walipewa jina au cheo hicho cha Kristo?
Simba.
Hapana Kaka nipo Green CityNdugu wewe ni wa Tanga?
Kwa hio wote walikua "wapakwa mafuta wa bwana"?Kristos kwa maana nyingine ni mpakwa mafuta wa Bwana. Pamoja na kwamba waliotangulia walipewa cheo cha Messiah, bado hakikuwapa hadhi ya Yesu. Kama ambayo nilisema tena kuwa hata Mungu anajua kuna miungu. Hivyo kuwepo Kristos wengine sio hoja sana
Hio point yako ya "miungu wengine" nimekuelewa, kwa hio Mungu anajua kuna miungu wengine kawaumba yeye au watu tu wamejiamulia kua huyu mungu, yule sio mungu?Kristos kwa maana nyingine ni mpakwa mafuta wa Bwana. Pamoja na kwamba waliotangulia walipewa cheo cha Messiah, bado hakikuwapa hadhi ya Yesu. Kama ambayo nilisema tena kuwa hata Mungu anajua kuna miungu. Hivyo kuwepo Kristos wengine sio hoja sana
Jabal Nour lipo Makkah, huko juu juu ya hilo jabali ndio kuna pango linaitwa Hira.Mwami Atale ndugu yangu kuna kitu nataka kufahamu kimenipa hamu kidogo,umesema huwa unapenda kuomba dua na kuwa na mazungumzo na Mungu kwenye milima huko,kwanza sishangai kuwa huenda kwenye milima.kuna siri fulani,maana hata mussa aliongea na Allah mlima sinai,mtume alikuwa anashinda sana jabar hila huko mlimani wakati anatafuta muongozo toka kwa Allah
Umesema kuna siri nyingi au manufaa ya kufanya maombi huko,kama hutojali waeza shea na sisi baadhi ya mambo
Dah huu mtihani mkubwa Sana.... Watu wengi n wahanga wa hili tatzo ila, amini nakwambia Bora upatwe na mashetwan wanaotaka kukufanyia ubaya mwingine kuliko huyo kiumbe😶😶Unasaidiaje mtu mwenye tatizo la jini mahaba?
Huyu hatari na nusuDah huu mtihani mkubwa Sana.... Watu wengi n wahanga wa hili tatzo ila, amini nakwambia Bora upatwe na mashetwan wanaotaka kukufanyia ubaya mwingine kuliko huyo kiumbe😶😶
Yani n anabalaa na nusu