Hizo porojo zinatolewa na wasiorejea Maandiko.Hapo ndipo huwa nachokaga na porojo zenu,mungu kampeleka yesu kwa iblis akajaribiwe,hlf unamalizia kwa kusema alipewa mtihani kutoka kwa mungu
Je wakati huo Yesu ni mungu au sio mungu
Naomba msinijibu hizo porojo zenu tafadhali
Asante
Kwenye biblia hakuna sehemu inasema Yesu alinawa kabla ya kusali. Kitendo cha kuwaosha wanafunzi wake miguu hakikuwa na ukusiano wa moja kwa moja na kusaliSwali ni Yesu alitawadha kabla ya kusali au hajatawadha?
Hayo yote yapo duniani. Au hayapo?Kutoka kusifia majini, uchawi, kuvuna kamba mpaka kujadili Imani za watu upuuzi mtupu
Sijaandika "kunawa" nimeandika kutawadha.Kwenye biblia hakuna sehemu inasema Yesu alinawa kabla ya kusali. Kitendo cha kuwaosha wanafunzi wake miguu hakikuwa na ukusiano wa moja kwa moja na kusali
nakiri kweli umenipa jibu lakini Sio Jawabu!Uliukuza anaitqa nani? Nimekupa jina kutoka kwenye biblia, siyo kwa kukisia? Kwanza kiri swali lako nimekupa jibu umeridhika nalo sasa unaendeleza ubishi mwengine. Au siyo?
Ya weke hapa acha porojo.Unayjua mwenyewe, ibaki kua ni siri yako na unashirikiana nao.
Simba.
Biblia haitafsiriwi kwa neno moja tu la lugha fulani, kuna kiswahili cha zamani na kiswahili cha kisasa, zingatia hilo unaposoma Biblia.Neno" kulifukuza" ulilotumia wewe kuibadili biblia lipo kiwenye hizo aya?
Sasa "Mungu" akifukuze kiumbe alichokiumba mwenyewe, kiende wapi? Au wewe unaamini kuwa Yesu siyo Mungu kama sisi Waislam?
nakiri kweli umenipa jibu lakini Sio Jawabu!
Hayo yote yapo duniani. Au hayapo?
"Majini" yapo au hayapo?
"Uchawi" upo au haupo?
"Imani za watu" zipo au hazipo?
Ulitaka tujadili nini? Simba na Yangwe una usha
Kwani Kuna mahali nimekuambia Cha kujadili? una ushahidi gani kwamba hayo majini yapo? Can you prove it?Hayo yote yapo duniani. Au hayapo?
"Majini" yapo au hayapo?
"Uchawi" upo au haupo?
"Imani za watu" zipo au hazipo?
Ulitaka tujadili nini? Simba na Yanga?
Siamini kuwa Yesu ni Mungu kutokana na Maandiko ya Biblia, na si kwasababu ya Waislamu kuamini hivyo.Neno" kulifukuza" ulilotumia wewe kuibadili biblia lipo kiwenye hizo aya?
Sasa "Mungu" akifukuze kiumbe alichokiumba mwenyewe, kiende wapi? Au wewe unaamini kuwa Yesu siyo Mungu kama sisi Waislam?
Taratibu lishangazi, tatizo ni lugha tu, mtu mwingine ukimwambia kutawadha anajuwa ni lile tendo la kujisafisha kinyesi baada ya haja kubwa wengine wanaita kuchamba.Sijaandika "kunawa" nimeandika kutawadha.
Kwanini ubadili maneno?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Niliuliza ulikotoa yesu kakumbwa na jini. Na ktk mistari uliyoniambia nisome kama ushahid wa hilo sijaona hilo la yeye kukumbwa zaidi ya kupitia majatibu ya i ilishinda na kuyashinda. Neno jini katika biblia linapatikana mstari gani katk ushahidi wako ule.Jawabu kama unalo kwanini uliuliza?
. Ulifikiri watu hawaijuwi biblia kama. wewe?

Siwezi.Ya weke hapa acha porojo.

ushabiki wa kidini ni kwa ajili ya wasio na akili Timamu tuu kutaka kushindanisha nani yuko sahihi na kusahau njia pekee yakuiona pepo ni kwa kutendeana Mema Kwa Upendo na Kupendana sana.Si alikuwa anaongea na Ibilisi, abapiga nae story! Ibilisi anamwambia Yesu amsujudie?
Hivi hapo Yesu dunia alimwachia nani kuiendesha?
Wewe kama hufati dini weka hoja zako, usiponde wanaofata dini, unataka wawe shetani mapagani kama wewe?
Mkuu unaposema hakuna binadamu wema unamaanisha nini, je vipi kuhusu binadamu wabaya? Kumbuka tunaishi katika matokeo ya ujuzi wa mema na mabaya.Hakuna Jini Mwema wala Binadamu Mwema.
Mwema ni Mungu peke yake.
Majini yaliwaingiza chaka kusema ni mema ili yawaongopee na wayaamini, nao wameingia kingi.
Ninakupata vyema Simba, ILA sasa je wakija kwa mlengo wa ulaghai, mfano kwenye kisa cha dokta mrembo alivyofanyiwa na mzee Ali. Hapo dokta anaamini kabisa hawa ni wema maana wanamtatlia tatizo lake kumbe ndo analiongeza.Muhimu ni kua usiwaabudu na kushirikiana nao kwenye uovu. Kuna mashetani kati yao.
Simba.
Na ndio maana huwezi kumpata mshindi, cha msingi tujifunze kupitia mijadala hii mwenye ufahamu ataijua kweli.Maana yangu ni kwamba hizi dini kila mtu anamchukulia mwenzie kapotoka na upande alio yeye ndio upo sahihi!