Mungi mshikaji wangu...umefanya kosa kubwa sana kutompenda mwanamke anaye kupenda mkuu...ningekuwa mimi mbona angefurahi
Btw;...pole sana mkuu hawa police wa central ya arusha ni hamnazo sana...pitful so to speak
Sijui kwanini ila roho inaniambia kuwa kuna kamba na fiksi humu..
Anyway hongera kwa kutushika akili
hapo kuna mawili...either arusha kuna upungufu wa wanaume wa kuridhisha wanawake ama wanawake wana mashetani/pepo la ngono...eeh mwanamke mapenzi mpaka polisi si mchezo bt nakuunga mkono u stood ur ground..wanawake washazoea wakimtaka mwanaume wanapata tuu kirahisi bora umeonyesha kua sio wanaume wote wanafungua zip kirahisi
Hahaaaa mkuu siasa ni sehemu tu ya maisha, nadhani haina relation na mapenzi!
mm we unafikiri haina uhusiano?inawezekana usiwepo wa moja kwa moja lakini upo to some extent
pole sana Mungi,huko guantenamo ni usa-river police post,na kuna sehemu wanapaita china(kisongo prison)...nako ni nomaaa.ila kutokana na matukio yote hayo,je umejifunza nini?,jaribu kuchunguza alipopatia namba yako,labda kuna another hidden agenda.....donttrust anyone na ufwate ushauri wa charminglady,utakusaidia
Mkuu inawezekana huruma na upole ulichangia kwa sehemu kubwa, lakini sisi kwa utamaduni wetu wa kiafrika isingekuwa na athari. Dunia imebadilika sana, kwa miaka 35 niliyonayo sijawahi kushuhudia haya.
mkuu nina mke, nadhani kuna mapepo ya ngono yanamwelekeza aina ya watu anaotakiwa kutembea nao, ama waume za watu
charminglady upo sahihi kabisa, lakini kama unavyojua kuwa niliitwa kwa mazungumzo baada ya kukataa jana yake, nikiamini itakuwa ni mazungumzo ya kawaida kwakuwa kwa mawasiliano ya sms tulifikia hatua ya kuelewana kuwa isingewezekana kwa kuwa nilikuwa karibu na rafiki yake.samahani mkuu, mambo mengine huwa mwajitakia wenyewe. inakuwaje ukaenda kumeet na mwanamke ambaye unajua wazi kuwa anakutaka kimapenzi tena kwa nguvu. huna nia naye kimapenzi kwanini umpe lifti tena hadi kwake pia uingie ndani kwake. wewe ni mwanaume tena mume wa mtu bana, tumia uanaume wako kuepukana na machangu kama hao. UKICHEKA NA NYANI, UTAVUNA MABUA. .
Hakika mungi nakuheshimu sana kwa busara zako ila sikujua una umri mdogo hhivi any way piga kazi ndugu umeshamshinda shetani huyo bwana wa angoni ni mpuuzi sana mi aliniweka ndani hapo kisa nimeuziwa gari alilodai ni lake ningemkuta huko hakika ningekula tigo yake niko sa melrose nikotinu nita ku pm nikuone mpiganaji wangu pole
pole sana Mungi, lakini ulipaswa kuwa aware hadi mwisho. hebu nikuulize. kabla hujaoa hukukutana na dhahma kama hii"unampenda msichana anakuzungusha mpaka unakata tamaa, mwisho wa siku unakuja kupata chance ya kuwa naye close,let say kaja mpaka kwako. je yale mapenzi/matamanio ulokuwa nayo zamani yatakuwa yatakuwa yamekwisha? obvious jibu litakuwa ni NO na hapo ndo itakuwa siku ya kutimiza haja zako either kwa kumlaghai ama kumbembeleya" hiko ndo alichofanya huyo dada. kukusahaulisha then kukutega!