Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
- Thread starter
- #21
Mungi pole ila kwa maelezo yako inaonekana huna mrembo unayemgawia madolare ndo mana huyo changu alipa muda wote huo wa kukusumbua uko busy na politic.e?pole saana 70% walioko selo ni waliobabmbikiwa kwa analysis yangu mwenyewe
Hahaaaa mkuu siasa ni sehemu tu ya maisha, nadhani haina relation na mapenzi!
Ni kweli kuna baadhi ya waliopo sero wamebambikiwa. Kwa mfano kuna vijana watatu walitandikwa sana na polisi, wakalazimishwa waseme waliwaona akinafulani wakiiba mali tanelec, na kwamba waseme kuwa wao walipewa milioni mbili ili wasisanue noma.
Last edited by a moderator: