NILIYOYAONA nilipokuwa SERO

NILIYOYAONA nilipokuwa SERO

Pole sana, yakupasa ujifunze kutokuwa karibu sana na wanawake. Urafiki au ushemeji wa karibu sana haya ndio matokeo yake. Ndio maana sikuzote katika maisha yangu sijawahi kuwa na urafiki na mwamke zaidi ya mke wangu. ukiona mwanamke anajitahidi sana kujenga urafiki na wewe ujue kuwa kunakitu anatafuta kutoka kwako.
sikuzote katika maisha ya mwanadamu hakuna kitu kinachoitwa urafiki wa kawaida kati ya mwanamke na mwanaume. Hizo ni jinsia mbili tofauti na utakuta wanaitana marafiki lakini kuna mmoja anaumia ila anashindwa kumwambia mwenzake.
 
Dah. Mungi pole sana kwa kisa hiki mkuu, mkuu na wewe si ungefunika kombe mwanaharamu apite kuepusha shari? a a ha ha jokin, bravo broda kwa ujasiri na msimamo
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mungi
ila siku nyingine ntakuuliza kitu, lol!
 
Last edited by a moderator:
Dah. Mungi pole sana kwa kisa hiki mkuu, mkuu na wewe si ungefunika kombe mwanaharamu apite kuepusha shari? a a ha ha jokin, bravo broda kwa ujasiri na msimamo

Mkuu asante ............................ lakini nisingeweza kufunika kikombe, manake kuna jamaa yangu nasikia alifunika kikombe mwanaharamu apite matokeo yake jamaa kafichwa kwenye bikini mazee!
 
Hakyamungu Mungi sikuuona huu uzi, ndio nauona sasa. Kwa kifupi nakupongeza sana kwa MSIMAMO! Ingawa nina mashaka nawe baada ya kikao chenu cha BOT jana. Kwa upande wangu NIMEWAHI KUBAKWA SANA nina stori ndefu sana ya ubakwaji. YAANI bikra nilibakwa

Mkuu mbona pofu linakutoka hivyo!? Kama umebakwa na mdada ulichotakiwa kufanya ni kuonesha ushirikiano!! (just kidding!). Na wewe pole sana Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Dah. Mungi pole sana kwa kisa hiki mkuu, mkuu na wewe si ungefunika kombe mwanaharamu apite kuepusha shari? a a ha ha jokin, bravo broda kwa ujasiri na msimamo

upo kaka!? Umepotea sana Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
huyo ni mke wa shetani.......au ana NYMPHOMANIA
 
Mkuu mbona pofu linakutoka hivyo!? Kama umebakwa na mdada ulichotakiwa kufanya ni kuonesha ushirikiano!! (just kidding!). Na wewe pole sana Mkuu!

Thanx Filipo ila kuna watu wanadhani Mungi anajoke wananiboa sana!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mbona pofu linakutoka hivyo!? Kama umebakwa na mdada ulichotakiwa kufanya ni kuonesha ushirikiano!! (just kidding!). Na wewe pole sana Mkuu!

Mkuu unataka aonyeshe ushirikiano sasa itakuwa ubakaji tena? hahaaaaa
Arushaone tutafutane aisee tujadili hili suala dah!
 
Nipo kaka kwema kabisa, tunamtumikia mkoloni kama kawa Filipo ni Preta tuu hataki nisikike ndo maana hata kwenye orodha ya JF Arachuga wing aliniondoa, hii naona iko kisiasa zaidi. nina mpango kuomba kikao cha dhararu na mkuu PakaJimmy kupata muongozo
upo kaka!? Umepotea sana Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Jamani sijui ni uzee au ni nini? Nasoma hii sredi nimeona kiyu kinaitwa " Kukata wenge"......wakamakata wenge mara akaja nyumbani kwangu nikamkata wenge!! Ndo nini hiki au ndio ile tuliyokua tunaiita ngwara?
 
Pole sana Mungi, nimepitia simulizi lako ungempelekea Shigongo ungevuta mpunga mwingi...kamanda mzima kumbe mlaini kama maini unafungiwa ndani na demu...kukata wengi ndio nini mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mungi, nimepitia simulizi lako ungempelekea Shigongo ungevuta mpunga mwingi...kamanda mzima kumbe mlaini kama maini unafungiwa ndani na demu...kukata wengi ndio nini mkuu.

Asante Mkuu Ritz, nimepoa lakini pia nimejifunza................ mkuu mademu bana ningeng'ang'ania mlango niliwaza kuwa labda angeweza kupiga kelele halafu kesi nageuziwa mie.
Well, nashukuru mungu imeisha, nimepokea ushauri wa waungwana akina Arushaone , kiluvya, Don Mangi na charminglady kwa marejesho, name nimemuweka kwenye blacklist, hata sasa ananibembeleza mkuu sijui hii ni pepo ya namna gana.............................. Kukata wenge maana yake kuzabwa kofi ili uwekwe sawa...... hahahaaaa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom