NILIYOYAONA nilipokuwa SERO

NILIYOYAONA nilipokuwa SERO

Ambao tuna waume hapa arusha tumuombe Mungu huyu kahaba asikutane na waume zetu.

Mbona hata Mungi kakwambia ni mume wa mtu lakini bado kamkwepa? Au mumeo wewe unamuonaje, ni dunga dunga?
 
Mungi pole lol....umepewa bure toa bure....
 
Last edited by a moderator:
Mungi Hii ni hadithi au Ni True strory
Mungi naomba kujua huyo dada kicheche alipokuja kwako mama watoto alikuwa wapi
Mungi ni nini kumletea mama watoto BP na kipindi hicho alikuwa mama mtarajiwa?

Hivi huyo alikuwa anatamani tu penzi lako ama alitaka kukugawia na Ka ugonjwa ketu haka????

Pole na mkasa
 
Last edited by a moderator:
Pole mkuu Mungi huyo atakuwa ana jini mahaba,usisahau kutuletea picha yake.
 
Mungi Hii ni hadithi au Ni True strory
Mungi naomba kujua huyo dada kicheche alipokuja kwako mama watoto alikuwa wapi
Mungi ni nini kumletea mama watoto BP na kipindi hicho alikuwa mama mtarajiwa?

Hivi huyo alikuwa anatamani tu penzi lako ama alitaka kukugawia na Ka ugonjwa ketu haka????

Pole na mkasa

Huyu nashindwa kuelezea yupo kundi gani, ukimwangalia ni kama mama wa heshima, mrefu ana mwili kiasi, mweupe, haonyeshi kabisa kama angekuwa mwanamke wa tabia ya sampuli hii.
Hii siyo story manake muda huu ndo nimetoka polisi, anataka mambo yaishie pale isiende mahakamani nashindwa kuelewa.
 
Pole sana kamanda! Duh, kulishinda hilo pepo ilihitaji usaidizi wa Holy Spirit!
 
Pole sana kamanda! Duh, kulishinda hilo pepo ilihitaji usaidizi wa Holy Spirit!

Mkuu ni kweli kabisa........................ jioni hii amenipigia simu tuonane, amenisumbua sana................ikabidi nichukue makamanda kama watatu hivi tukaonana BOT.................tumeongea hakuna la maana zaidi ya kuning'ang'ania kuwa ananipenda sana, na anataka nikamgawie dawa wakati hata kesi hajafuta................. nimemwambia afute kesi ama apeleke mahakamani kwangu ni poa tu................... ataamua mwenyewe.

Na maujanja yangu yote sijawahi kukutana na hili.................. lakini Mungu atasimama
 
Mkuu Mungi hilo ni pepo! Usijaribu tena kulisogelea. Acha aende mahakamani. Anaweza akakuwekea vitu vya "mwandosya na mwakyembe!". Sasa sijui utaendaje India. Bible iliposema uikimbie zinaa ilimaanisha mkuu. Sio utani. Kaa mbali kabisa na hilo pepo "Belzebul!"
 
Last edited by a moderator:
Jamani Mungi mbona unakuwa mchoyo kitu kizuri unakula na mwenzio,sijawahi sikia ki2 ya namna hii,ana matatizo ya akili?
 
pole ndugu yalishanikuta hapo hapo arusha kwenye hyo hyo sero tena nakumbuka tulikutana na mwandishi mmoja anaitwa matinyi masyaga alishuhudia vitu vya ajabu ndani hapo na akatoa makala ya mpembuzi hakinifu kwenye gazeti la rai, hyo sero ni moja na imechanganyana na wanawake ndani na choo ni kimoja yan ni sero mbaya sana
 
Hakyamungu Mungi sikuuona huu uzi, ndio nauona sasa. Kwa kifupi nakupongeza sana kwa MSIMAMO! Ingawa nina mashaka nawe baada ya kikao chenu cha BOT jana. Kwa upande wangu NIMEWAHI KUBAKWA SANA nina stori ndefu sana ya ubakwaji. YAANI bikra nilibakwa
 
Last edited by a moderator:
Kaka Mungi pole sana kwa maswahibu yaliokukuta yanakuja mengi na yanapita hili nalo litapita.
 
Mkuu Arushaone nashukuru, kuhusu kikao cha jana nilienda na njemba kama tatu hivi pale BOT, tumeongea tukamalizia kwa msimamo kuwa sipo tayari kujadili mengine mpaka nione hatma ya kesi.
Thanks God ameifuta mwenyewe leo kwa maandishi, anaulizwa kwanini anafuta kesi wakati mali zake zimeharibiwa, anadai amesamehe................. kiukweli hakuna kitu nilichokiharibu, na Mungu amesimama kwenye katika hili........... ameogopa manake jana nilimwuliza swali kuwa kwanini amedanganya kuwa nimeharibu vitu vyake, anadai kwasababu ananipenda na mimi sipokei simu yake, na eti kwasababu pia alichanganyikiwa.

Kaka Mungi pole sana kwa maswahibu yaliokukuta yanakuja mengi na yanapita hili nalo litapita.
Lily Flower asante, nimeshapoa, lakini pia nashukuru nimeyaona mambo yanayoendelea kule sero. Infact kesi imeisha, amefuta mwenyewe kwa maandishi. Mtu mzima upeo mdogo kabisa...................... wanawake wanatumiwa sana na pepo wachafu jamani kuweni makini dada zangu...................
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom