Niliyoyaona Gereza la Segerea

Niliyoyaona Gereza la Segerea

Nimekaa Segerea kwa miezi miwili. Haya ndo niliyoyaona:

  • Magodoro yamejaa chawa.
  • Wengi wa mahabusu wana matatizo ya akili.
  • Watu wanakaa muda mrefu bila kesi zao kusikilizwa.
  • Magari ya kupeleka watu mahakamani ni mabovu hakuna mfano.

Wenye experience ongezeeni.
Majina huumba
 
IMG_0330.JPG
 
Inamaana kama utaingia kule na njaa yako saa tisa mchana imekula kwako....
Sasa wale kula kula akishakula saa tano inabidi usiku ahesabu mabati....
Hizi stori mnapiga kuanzia asbuh mpaka mlale, hakuna maktaba ya kujisomea hata magazeti ya udaku....
Hizi stori za kule zingewekwa bayana zingewafanya baadhi ya vijana waache ubabe. KULA NI MARA MOJA ? SAA KUMI KITANDANI hata kuku wenyewe hawajaingia
Kuhesabu mabati hahahahahha
 
Uzi unaonenaka ni wa enzi za JK naamin tangu huyu ngosha aingie huko gerezan hata hayo magodor yenye chawa hayapo tena
 
Mzee unajua Kubenea akiona hii atalia zaidi acha bana..
 
Gerezan ukijifanya nunda unapigwa pingu za miguu na mikono unachezea kichapo hadi manunda wenzako wakiona wanaokoka muda huohuo,
Gerezan siyo sehem nzur askar magereza mwenyewe anaogopa kuwa mfungwa licha ya kuwa ni mzoefu wa huko
 
Nimekaa Segerea kwa miezi miwili. Haya ndio niliyoyaona:
  • Magodoro yamejaa chawa.
  • Wengi wa mahabusu wana matatizo ya akili.
  • Watu wanakaa muda mrefu bila kesi zao kusikilizwa.
  • Magari ya kupeleka watu mahakamani ni mabovu hakuna mfano.
Wenye experience ongezeeni.
Magereza hayapaswi kuwa na magodoro!
 
Nimekaa Segerea kwa miezi miwili. Haya ndio niliyoyaona:
  • Magodoro yamejaa chawa.
  • Wengi wa mahabusu wana matatizo ya akili.
  • Watu wanakaa muda mrefu bila kesi zao kusikilizwa.
  • Magari ya kupeleka watu mahakamani ni mabovu hakuna mfano.
Wenye experience ongezeeni.
Mkuu hukupata usumbufu wowote? Nyakati za usiku?
Manyapara wakitaka jambo lao ni tatizo ..
 
Dah pole sana.
Sijawai fika jela ila nimelala sana kigogo post na obay.
Kigogo post mwanamke ana mimba karudi late kumpa vibao viwili kapiga simu polisi madai nataka nimuue ye na mtoto.
Mzee defender hili hapa pingu twende..
Mle sero balaa, pigwa kunguni za kutosha.
Asb jamaa anakabidhi kituo kanitoa nje.
Askari"e bana nikikuacha hapa kinachofuata mashtaka"
Mimi "sina kitu"
Askari "unataka kubaki humu" ?
Nikaona isiwe tabu twende nikakope 😂😂😂
Kulikua na maza pale jirani mida hiyo yuko sana macho.
Alikua na hela zangu nyingi tu na nikamkuta,
Mimi "E bana nigee 10000"
Mama kazama ndani katoa.
Nikampa askari katimua,
Sasa mama anaanza kuuliza imekuaje ?
Namwambia acha tu.
Nazama kwangu wife anatoa mimacho tu maana alijua ananipoteza mazima.
Dah ile mimba kijana yuko 18yrs now Thanks to God.
Na nipo nae.
 
Jela za mbele wanaletewa madem zao kuwapiga mambo.Vp ulivyo rudi kitaa ugwadu ulikua nao?Then naskia wafungwa madem wana liwa sana na mabwana jela kuna ukweli mkuu HITLER?
Hili la wanawake kuliwa inabidi aliyekuwa mfungwa mwanamke atoe ushuhuda maana wanawake na wanaume wanafungwa tofauti
 
Nimekaa Segerea kwa miezi miwili. Haya ndio niliyoyaona:
  • Magodoro yamejaa chawa.
  • Wengi wa mahabusu wana matatizo ya akili.
  • Watu wanakaa muda mrefu bila kesi zao kusikilizwa.
  • Magari ya kupeleka watu mahakamani ni mabovu hakuna mfano.
Wenye experience ongezeeni.
Nilisoma gazeti moja online kuwa kuna mtu alitamka kuwa "kama jela ni shule basi mpeleke mwanao!"
 
Back
Top Bottom