Niliyoyaona Gereza la Segerea

Niliyoyaona Gereza la Segerea

Hawa watu nao wanalalia magodoro na mablanketi yenye chawa ?

1. Charley Ekology aliyekua mtu wa viwango vya juu
2. Waziri Mrombo
3. Waziri wa madani jina lake limenitoka
4. Papaa mutu ya watu anaemwaga pesa ngwasuma
 
sasa nimeelewa kwanini baadhi ya watu wana-behave kwa namna ya tofauti. kumbe sababu ndio hii
 
Pole sana mkuu kule hakufai.
Kama jela ni shule mpeleke mwanao.
 
Nimekaa Segerea kwa miezi miwili. Haya ndo niliyoyaona:

  • Magodoro yamejaa chawa.
  • Wengi wa mahabusu wana matatizo ya akili.
  • Watu wanakaa muda mrefu bila kesi zao kusikilizwa.
  • Magari ya kupeleka watu mahakamani ni mabovu hakuna mfano.

Wenye experience ongezeeni.

Mkuu hapo kwenye magodoro umedanganya. Umataka kutuaminisha kuwa magereza ya Tanzania kuna magodoro? Siyo kweli kabisa! Kuna magunia tu yanayotandikwa chini. Ukiwa tajiri ndio ndugu zako wanakuletea godoro. Sahihisha hapo......
 
Wafungwa hawapelekwi segerea kule ni mahabusu

Mkuu wewe unaishi Ulaya nini? Ngoja tukuelimishe. Tanzania huwezi kutofautisha mahabusu na mfungwa......wote wanalala pamoja gerezani isipokuwa mahabusu anakuwa bado hajahukumiwa kifungo. Nihitimishe kwa kukuelimisha kuwa magereza ya Tanzania yanahifadhi wafungwa pamoja na mahabusu simulteneously!!! Hakuna gereza la kuhifadhi mahabusu peke yao.
 
HEBU tupeni menu za kule, muda wa chai, chakula cha mchana na chakula cha usiku, nyama ni mara ngapi kwa wiki, samaki mara ngapi na chips ni siku gani,
Chai wanakunywa na nini ?
 
Mkuu hapo kwenye magodoro umedanganya. Umataka kutuaminisha kuwa magereza ya Tanzania kuna magodoro? Siyo kweli kabisa! Kuna magunia tu yanayotandikwa chini. Ukiwa tajiri ndio ndugu zako wanakuletea godoro. Sahihisha hapo......

Hapana mkuu magodoro yapo ila mengi yamechakaa....Yale mazima wanatumia maNYAPALA na waliokaribu nao....yale yaliyochakaa....ndio wanapewa wasio julikana kwenye SELO kunakuwa na LINE 3 mbili zinakuwa pembeni katikati inakuwa 1 wenyewe wanapaita maandazi Road.....hapo ndio kunakuwa na mchongoma....vigodoro vilivyochakaaa....
 
Kwa hiyo waliokua mawaziri au wakurugenzi huko uraiani ndio wanalala pembeni, bodaboda maandazi road
 
HEBU tupeni menu za kule, muda wa chai, chakula cha mchana na chakula cha usiku, nyama ni mara ngapi kwa wiki, samaki mara ngapi na chips ni siku gani,
Chai wanakunywa na nini ?

Mkuu nimecheka sana hiki ulichoandika hapa heti Chai...kule sio nyumbani....Unaishi kwa AMRI ya mwanaume mwenzio....kwanza muda wa Kula ni mmoja kuanzia saa asubuhi ndio mpaka kesho yake so wewe utaangalia kama hicho ni chakula cha usiku au mchana kuanzia saa, jioni wote ndani ya SELO hadi kesho saa11 alfajiri .... kwaajili yakupata bakuli la Uji kuwahi Mahakamani na wale ambao tarehe zao ziko mbali mnapiga Stori..... chakula cha home mnakula Siku ndugu wanapokuja kuwa tembelea
 
Mkuu nimecheka sana hiki ulichoandika hapa heti Chai...kule sio nyumbani....Unaishi kwa AMRI ya mwanaume mwenzio....kwanza muda wa Kula ni mmoja kuanzia sa5 asubuhi ndio mpaka kesho yake so ww utaangalia km hicho ni chakula cha usiku au mchana kuanzia sa10,jioni wote ndani ya SELO hadi kesho saa11 alfajiri....kwaajili yakupata bakuli la Uji kuwahi Mahakamani na wale ambao tar zao ziko mbali mnapiga Stori.....chakula cha home mnakula Siku ndg wanapokuja kuwa tembelea

Inamaana kama utaingia kule na njaa yako saa tisa mchana imekula kwako....
Sasa wale kula kula akishakula saa tano inabidi usiku ahesabu mabati....
Hizi stori mnapiga kuanzia asbuh mpaka mlale, hakuna maktaba ya kujisomea hata magazeti ya udaku....
Hizi stori za kule zingewekwa bayana zingewafanya baadhi ya vijana waache ubabe. KULA NI MARA MOJA ? SAA KUMI KITANDANI hata kuku wenyewe hawajaingia
 
Mkuu....JELA ni mahari pamatatizo sio starehe.....mnafungiwa kuanzia sa10 Jioni mkiwa ndani mnaendelea na Story ikifika sa3 usiku hata km huna usingizi SELO inatakiwa kuwa kimya ukileta ujinga aidha unapigwa Rungu...au utashtakiwa kwa Askari kesho unaweza usirudi kulala Selo hiyo...Unazungumzia mtu anependa kula kula hakuna namna lazima utazoea tuu cz kule sio home kwako
 
Nimekaa Segerea kwa miezi miwili. Haya ndo niliyoyaona:

  • Magodoro yamejaa chawa.
  • Wengi wa mahabusu wana matatizo ya akili.
  • Watu wanakaa muda mrefu bila kesi zao kusikilizwa.
  • Magari ya kupeleka watu mahakamani ni mabovu hakuna mfano.

Wenye experience ongezeeni.
Mkuu usini kumbushie mageleza ya tz hayafai binadam kutunzwa
 
Nimekaa Segerea kwa miezi miwili. Haya ndo niliyoyaona:

  • Magodoro yamejaa chawa.
  • Wengi wa mahabusu wana matatizo ya akili.
  • Watu wanakaa muda mrefu bila kesi zao kusikilizwa.
  • Magari ya kupeleka watu mahakamani ni mabovu hakuna mfano.

Wenye experience ongezeeni.
Mkuu mende Wa segerea walikukosa lakini?
Maana nasikia wanaume wanaolewa kila kukicha,,
Na mahari zao ni
1..chakula kizuri
2..sigara
3.godoro zuri
4..maji ya kuoga
5. shuka ya kujifunika..
6.Simu
 
Nimekaa Segerea kwa miezi miwili. Haya ndo niliyoyaona:

  • Magodoro yamejaa chawa.
  • Wengi wa mahabusu wana matatizo ya akili.
  • Watu wanakaa muda mrefu bila kesi zao kusikilizwa.
  • Magari ya kupeleka watu mahakamani ni mabovu hakuna mfano.

Wenye experience ongezeeni.
Mkuu ushasema wengi wana matatizo ya akili. Ninaaminije kama uko timamu na uliyosema ni kweli?
 
Back
Top Bottom