hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 489
- 457
Nimekaa Segerea kwa miezi miwili. Haya ndio niliyoyaona:
- Magodoro yamejaa chawa.
- Wengi wa mahabusu wana matatizo ya akili.
- Watu wanakaa muda mrefu bila kesi zao kusikilizwa.
- Magari ya kupeleka watu mahakamani ni mabovu hakuna mfano.