Niliyoyaona Gereza la Segerea

Niliyoyaona Gereza la Segerea

Pole sana chief hitler2006
Miaka ya nyuma nilishakoswakoswa kidogo nipelekwe kwa kesi ya kubambikiwa mitikasi, ila wenzangu walisongeshwa huko.... Wakati nawafanyia visiting walilalamika sana kuhusu shida ya maji na chakula hakikuwa poa.
 
Last edited by a moderator:
Hujalalamikia chakula, maji ya kuoga na kunywa, matibabu, entertainment kama Tv na Radio, Unyanyasaji, ulawiti, visiting justice na uhuru wa kuwasiliana na ndugu na jamaa kwa njia ya barua , bila shaka hivyo vyote vipo sawa! Hongera Magereza

Aadilu;
Mengi nimekuelewa lakini hilo la ulawiti, sikuelewi. Kwani hicho nacho ni miongoni mwa yale muhimu? Wanagawiana au ni nguvu? Serekali inalijua hili? Mbona kuna sheria kuwa kutenda hivyo ni kinyume cha maumbile iweje huko waruhusiwe kufarijiana???

Wazo;
Kwa nini serikali hii tukufu isiruhusu wenza wakaenda huko kuwasuuza mioyo wenza wao? Si hilo lingepunguza au kuondoa kabisa upuuzi huu?

Hao chawa aliowakuta huko mwenzetu huyu, ni wa kichawi au ni miongoni mwa adhabu zenyewe? Nauliza tu nipo gizani.
 
mbona hujaweka sheria za jela
kunya mara moja kwa siku
kukojoa mara moja kwa siku
kuoga kwa siku mara moja tena zote hizi ni saa nane
kulala saa kumi
 
Jela za mbele wanaletewa madem zao kuwapiga mambo.Vp ulivyo rudi kitaa ugwadu ulikua nao?Then naskia wafungwa madem wana liwa sana na mabwana jela kuna ukweli mkuu HITLER?
 
Last edited by a moderator:
Vp kuna mchokocho huko?
Mkuu sijajua mchokocho unamaanisha nini ila nilichokiona kali kuliko mabaya yote ni kitendo cha kwa mfano mumechukuliwa kwenda mahakamani au popote ila ni nje ya Gereza basi kabla hamujaingizwa ndani kwanza kunapitishwa ukaguzi munavuliwa nguo zote wakimaliza kuzisachi nguo wanakuja kwenye mwili mmoja mmoja anabong'oa halafu unapanua matako kwa mikono yako kisha Askari magereza anakuchungulia kwa tochi mkun..... na huu ni ukaguzi kujihakikishia kuwa hamujaingia na sigara au bangi kwa kuwa wafungwa na mahabusu wengi wanatumia njia hii kuingia na sigara na bangi na Gerezani ukiwa na vitu hivo wewe unaringa utakula unachotaka na mazuri yote kwa mazingira ya jela utayapata
 
Back
Top Bottom