Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Hujalalamikia chakula, maji ya kuoga na kunywa, matibabu, entertainment kama Tv na Radio, Unyanyasaji, ulawiti, visiting justice na uhuru wa kuwasiliana na ndugu na jamaa kwa njia ya barua , bila shaka hivyo vyote vipo sawa! Hongera Magereza
Mkuu hilo la urawiti Lipo kila gereza na ni kwa anaye kuwa tayari,sema tu kwa mtu ambaye ndio umeingia kushuhudia hayo mambo kidogo inasumbua sana.