Niliyoyaona Gereza la Segerea

Niliyoyaona Gereza la Segerea

hitler2006

Mhh.. kwa hii ID ya Hitler2006, sioni ukicheza mbali na vijana wa Kova.. lazima una matatizo na mamlaka wewe.
 
Last edited by a moderator:
.. Watu8 simu zinaingizwa kwa mchongo tu, ila ni marufuku na Ukikutwa nayo ni shida
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sijajua mchokocho unamaanisha nini ila nilichokiona kali kuliko mabaya yote ni kitendo cha kwa mfano mumechukuliwa kwenda mahakamani au popote ila ni nje ya Gereza basi kabla hamujaingizwa ndani kwanza kunapitishwa ukaguzi munavuliwa nguo zote wakimaliza kuzisachi nguo wanakuja kwenye mwili mmoja mmoja anabong'oa halafu unapanua matako kwa mikono yako kisha Askari magereza anakuchungulia kwa tochi mkun..... na huu ni ukaguzi kujihakikishia kuwa hamujaingia na sigara au bangi kwa kuwa wafungwa na mahabusu wengi wanatumia njia hii kuingia na sigara na bangi na Gerezani ukiwa na vitu hivo wewe unaringa utakula unachotaka na mazuri yote kwa mazingira ya jela utayapata
Duh, hii kali, nilikuwa sijawahi kuisikia. Ila binadamu nasi jamani tuna mambo, mtu kujiingiza sigara/bangi njia ya haja kubwa!!!!!!!
 
Duh!me nilikaa lock up ya police masaa mawili tu kisa nilimzaba mtu makofi ila nilijiona kama niko jehanamu vile..tangu hapo niliapa kutokuvunja sheria za nchi.

tang'ana;
Usiseme utatii sharia bila shuruti. Juzi jumamosi, si nikaitwa usiku, ajali hiyoo imetokea, kufumba na kufumbua niko lock up ya polisi. Usiombe, leo ni j3 nyama zote mwilini zimeoza kabisaaa, Hata hiyo kuoga kwangu shiida. Naogopa hata kujipaka hiyo sabuni. Unalala kwenye zege hakuna hata kipande cha box tu jamani. Utu umeenda wapi?? Mnawaita atii ni watuhumiwa, semeni mnatamani wafwe bila hukumu ili kupunguza idadi hii inayo ongezeka. Nimetolewa leo, ati uchunguzi unaendelea, Eee Mola wahurumie wanadam ulio waumba, kwa nini wanawaziana kutesana tuu jamani?? Si muweke hata sakafu zuri tuu? Na baridi lote hili naamini nimetoka na ugonjwa mwingine mle. Msalani ni hapo mbele ya wenzako, kuchafu hata jivi linarudi halitoki. Ptuuuu, mwanangu asiwe polisi nitamlaan
 
Mtu akiwa mtaani utasikia unitishi kwa lolote lile lakini wanasahau kuwa hata makomandoo wanaogopa jela.
 
Kwa hiyo akina Mengi, Bakhresa wamepitia huko? Nauliza tu.

wao wanamaliza kwa pesa na urafiki wa serikali si ulisikia zile pesa za eppa kama manji alirudisha? kama ni kabwela jela tu.
 
Huduma ya afya ni mbovu, CLOAXCILLN ndio dawa inayopatikana, aspirin bado zinatumika ni hatare mjomba.
 
Habari Wana jamvi.
Mimi naomba msaada wa kueleweshwa maisha ya Gereza la segerea kwa ambaye amewahi either kufungwa au kuwa Mahabusu kule segerea. Kuna kitu kinanisumbua kichwani mwangu Kuna suala la watu baadhi ya Mahabusu wanalalamika kunajisiwa.

Leo nimeona ni vyema niombe msaada wa mawazo ili tuweze kuyafahamu maisha ya Gereza na urahisi wa kujua ukweli wa tuhuma hizi. Hata hivyo inaweza saidia kujua uhalisia wa maisha mule. Ahsante
 
Mkuu Hapa Jf Upo Uzi Unaohusu Gereza La Segerea
Nenda Kautafute Una Kila Kitu Huo Na Nina Hakika Utajibu Maswali Yako Kwa Usahihi.
 
nmezoea kuona mtu akiomba ufafanuzi kama huu huwa anajiandaa kwenda au kuitwa sehemu husika. Ila kwa kesi yako bado sijaelewa sawa sawa
 
Ha ha ha.. Ukweli mkuu katika mahabusu ya kwetu haya kulawitiwa ujilegeze mwenyewe.. Japo askari wetu wana matatizo fulani fulani hivi but linapokuja swala la mtu kutaka kulawitiwa huwa wanalivalia njuga sana.. Inawezekana akatokea mende akawa anakulia timing.. kwa vitisho au kujifanya yeye ndo god father wako anakulinda na kuhakikisha wala vizuri.. Ukijilegeza kwa staili hiyo umeliwa ndugu..
 
daaah nakumbuka mbali sana... ila kweli hayo yote sijawahi kusikia kwenye gereza la UN pale Arusha airport..... maji safi sana ya kuoga muda wote, chakula safi, matunda, kutembelewa pia kunaruhusiwa kabisa,pia magazeti na Tv.... ni wewe tu uamue.... hii haihusiani na kitengo cha gereza la kawaida hapo coz sijui ya huko
 
mashehe wanaosemekana kulawatiwa wako pia segerea.rejea mchango wa mbunge selasini leo bungeni.
 
tang'ana;
Usiseme utatii sharia bila shuruti. Juzi jumamosi, si nikaitwa usiku, ajali hiyoo imetokea, kufumba na kufumbua niko lock up ya polisi. Usiombe, leo ni j3 nyama zote mwilini zimeoza kabisaaa, Hata hiyo kuoga kwangu shiida. Naogopa hata kujipaka hiyo sabuni. Unalala kwenye zege hakuna hata kipande cha box tu jamani. Utu umeenda wapi?? Mnawaita atii ni watuhumiwa, semeni mnatamani wafwe bila hukumu ili kupunguza idadi hii inayo ongezeka. Nimetolewa leo, ati uchunguzi unaendelea, Eee Mola wahurumie wanadam ulio waumba, kwa nini wanawaziana kutesana tuu jamani?? Si muweke hata sakafu zuri tuu? Na baridi lote hili naamini nimetoka na ugonjwa mwingine mle. Msalani ni hapo mbele ya wenzako, kuchafu hata jivi linarudi halitoki. Ptuuuu, mwanangu asiwe polisi nitamlaan

Mkuu afadhali umejionea mwenyewe mahabusu zilivyo. Kuna watu wanadai eti siku hizi mahabusu zote zina magodoro na vitanda.... wanajidanganya! Ustaarabu huo bado haujafika Afrika na Tanzania ndio usiseme. Mimi naapa kwamba askari yoyote atakayenikamata na kuniweka mahabusu kwa makosa ya kubambikizwa nikitoka lazima NAMUUA! I will kill him by my own hand!
 
Mkuu afadhali umejionea mwenyewe mahabusu zilivyo. Kuna watu wanadai eti siku hizi mahabusu zote zina magodoro na vitanda.....wanajidanganya! Ustaarabu huo bado haujafika Affika na Tanzania ndio usiseme......Mimi naapa kwamba askari yoyote atakayenikamata na kuniweka mahabusu jwa makosa ya kubambikizwa nikitoka laxima NAMUUA! I will kill him by my own hand!

Malyenge;
Kwetu wanasema tema mate chini. Omba lisikufike bro. Si kwamba sisi ni waoga hapana, hapana. Ila hawa policcm hutajua siku weye umoe mle ndani. Nakwambia hata sikujua nimeingia saa ngapi mle ila nakumbuka tu nilijikuta nimeshaingia.
Cha ajab, polisi wakaniibia viatu vyangu. Loh! Nawahurumia mno. Njaaaa kaaaliii hao jamaa
 
Back
Top Bottom