Niliyoyaona Gereza la Segerea

Niliyoyaona Gereza la Segerea

Na jela nyampara akikwambia we ni demu wangu bana ucposema sawa bwana mkubwa unakula masalala za laana

Mkuu umewahi kukaa JELA gani ukakutana na mambo hayo au nawee ulisikia stori za vijiweni! Jela watu akili zimevurugwa unakuta MTU amekaa 10yrs na kesi haijazungumzwa huo muda wakufanya upuuzi anatoa wapi
 
Mkuu umewahi kukaa JELA gani ukakutana na mambo hayo au nawee uckia stori za vijiweni,,,,! Jela watu akili zimevurugwa unakuta MTU amekaa 10yrs na kesi haijazungumzwa huo mud a wakufanya upuuzi anatoa wapi

Ni kweli tatizo watu stori wanaamishia!kuhusu kuchapwa nao ni kupenda mwenyewe na nijuavyo ni kosa kubwa ukipatikana nalo huko lazima ucheze sana virungu
 
Mtu akikupeleka gerezani kwa kukuonea ukitoka unamkata kichwa kisha unakisafirisha kama kifurushi. Una mu address mkuu wa gereza. Hiyo ndiyo adhabu sahihi.
 
Mtu akikupeleka gerezani kwa kukuonea ukitoka unamkata kichwa kisha unakisafirisha kama kifurushi. Una mu address mkuu wa gereza. Hiyo ndiyo adhabu sahihi.
Hehehehehe
 
Ni kweli tatizo watu stori wanaamishia!kuhusu kuchapwa nao ni kupenda mwenyewe na nijuavyo ni kosa kubwa ukipatikana nalo huko lazima ucheze sana virungu

Yaaah,,,,mambo yakukaririshwa limekuwa janga kwa watz Mtu Hana uhakika na kitu lkn anavyoongelea utadhani alikuwaepo,,,Upumbavu huo labda ulikuwapo zamani Lkn sasa hvi Nyie mahabusu wenyewe ndio walinzi mtu akifanya upumbavu Ananyooshwa ile ni kashfa kwa Magereza
 
Mtu akikupeleka gerezani kwa kukuonea ukitoka unamkata kichwa kisha unakisafirisha kama kifurushi. Una mu address mkuu wa gereza. Hiyo ndiyo adhabu sahihi.

Mkuu unachosema ni sahihi kabisa mi kuna mtu alitengenezea kesi akahonga nikawekewa mizengwe Dhamana ikachelewa nikatupwa kule WK 1 namlia timing,,,Akingiia kwenye Ramani yangu kaisha tatizo la Maisha ya Jela niile kutokuwa free,,,! Mtu yyt akikupeleka kule hata km ni Mzazi wako choranae mstari
 
"mtu yoyoyte akikupeleka kule HATA KAMA NI MZAZI WAKO chora nae mstari"
 
Aadilu;
Mengi nimekuelewa lakini hilo la ulawiti, sikuelewi. Kwani hicho nacho ni miongoni mwa yale muhimu? Wanagawiana au ni nguvu? Serekali inalijua hili? Mbona kuna sheria kuwa kutenda hivyo ni kinyume cha maumbile iweje huko waruhusiwe kufarijiana???

Wazo;
Kwa nini serikali hii tukufu isiruhusu wenza wakaenda huko kuwasuuza mioyo wenza wao? Si hilo lingepunguza au kuondoa kabisa upuuzi huu?

Hao chawa aliowakuta huko mwenzetu huyu, ni wa kichawi au ni miongoni mwa adhabu zenyewe? Nauliza tu nipo gizani.

...Mkuu Tena Namimi Nilisikiaga Eti Ukiua Mbu,kunguni Au Chawa Nyampala Anakumaindi Kinoma! Sijui Ni kwelii.
 
...Mkuu Tena Namimi Nilisikiaga Eti Ukiua Mbu,kunguni Au Chawa Nyampala Anakumaindi Kinoma!Cjui Nikwelii.

Masangutu;
Nimeanza kuamini usemi kwamba; Mfungwa si mtu. Hata ukifa huko, hakuna hasara kabisa. Nilikuwa JKT miaka ileee, afande Mwita alikuwa na usemi wake kuwa; Kuruti ni mashine ya jeshi. Umeipata hiyo?? Hivyo hata jela, mfungwa ni chakula cha hao wadudu wanaokaa humo

Haki za binadam ziko wapi? Wataalam fungukeni. Labda wakifungwa hao vibopa wa Escro huenda rafiki zao wakiwatembelea watawaarifu unyama huo
 
Ukienda tena utakuta mbadiliko... Trust me, they are going to work on it... Hauta jutia kwenda...
 
Back
Top Bottom