Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Kua na mbuzi wanaokaa mjini kwa kula na kulala bure kwa mashemeji zenu siku bwashee atarudi kwenu kukutolea mahari, yaani akili hizi sio za mtu anaeamka asubuhi kusaka bali analishwa
 
Acha upumbavu wako weweee
Ingawa ni topic ya kijinga but huu ndio Ukweli. Urais ni wa Islam na Catholic tu.
Islam ni kwa ajili ya kuonyesha kuwa nao wanakumbukwa but still Rais anakuwa loyal kwa Vatican atake asitake.
So Lutheran na wengine sisi tutulie tu.
 
Papa Pius alijaribu kushindana na Napoleon Bonaparte, lakini jamaa likaenda hadi Vatican na kumteka Papa kisha kutangaza kwamba Kanisa Katoliki halitamiliki ardhi tena wala kuingilia siasa za nchi. Ardhi walikuja rudishiwa mwaka 1929 na Benito Mussolini kwenye Mkataba wa Lateran. Huyu Papa Pius baada ya yale mateso alifia uhamishoni na wala Kanisa Katoliki halikufanya chochote wala Lolote.

Kuna siku Napoleon Bonaparte alimuambia Kadinali Ercole Consalvi hivi "Your eminence do you know I have the Power to destroy the Church ???" kwa kiburi na madaha Kadinali Ercole Consalvi akamjibu Napoleon Bonaparte hivi " You will not succeed your majesty. Not even we priests, bishops and cardinals have been able to do that". Kanisa lilikosea sana, Napoleon aliwavuruga na kama siyo Mungu kutaka, basi baada ya 1814 Kanisa lisingekuwepo kabisa.

Hilihilo Kanisa la Katoliki lenye nguvu, lilishindwa kupambana na wakina Robespierre na The Jacobins Club hadi kupelekea mapinduzi ya Ufaransa ya mwaka 1789. Kwenye yale mapinduzi ya Ufaransa The Jacobins waliua mapadri 30,000 ndani ya siku moja aidha kwa kukata vichwa (Guillotine) au kupigwa risasi kichwani.

Mwaka 1861-1864 Papa na Vatican walimwambia Jeff Davis (Mkatoliki) kwamba akianzisha vita dhidi ya Marekani Kaskazini basi Papa atayaambia mataifa ya Kikatoliki ya Marekani Kusini yamuunge mkono. Vatican ndiyo lilikuwa taifa la kwanza kuitambua The Confederacy kama nchi wakati inapigana vita dhidi ya The Union. The Jesuits walishindwa vibaya sana na Lincoln akainuka kidedea, mwishowe wakamtuma John Wilkes Booth (A Devout Catholic) kumpiga risasi Lincoln. Kichekesho ni kwamba baada ya kumuua Lincoln, bwana Booth alikutwa yuko Vatican kama moja ya walinzi wa Papa. Ulysses Grant akaomba jamaa arejeshwe Marekani, lakini jamaa akakimbilia Uingereza.

Kichekesho kikubwa zaidi ni pale ambapo Papa na genge lake la Jesuits walibagazwa na kudhalilishwa na mwanamke hodari kabisa, Elizabeth I. Mwaka 1588 Kanisa Katoliki liliwatuma wahispania na meli zaidi ya 130 (The Spanish Armada) ili walivamie dola la Uingereza ambalo lilikuwa limeukana Ukatoliki na kugeuka dola la Kiprotestanti. Meli zote zile na maelfu ya wanajeshi kutoka Ulaya, walishindwa kuivamia Uingereza na mpaka leo dola lile ni la Kianglikani. Baada ya vita Waingereza walitunga wimbo wa Kilatini usemao Flavit Jehovah et dissipat sunt (Jehovah blew his winds, and they were scattered). Baada ya kushindwa vita na mwanamke Kanisa Katoliki likaamua kuiadhibu Uingereza kibiashara na vikwazo, lakini dola la Kituruki chini ya Sultani Murad III waliiokoa Uingereza isiangamie.

Kichekesho cha mwisho Kabisa ni jinsi ambavyo The Jesuit Order ilishindwa kuzuia mwanafunzi wao mpendwa mwenye akili kabisa Adam Weishaupt kutengeneza The Bavararian Order of the Illuminati mwaka 1776, chombo ambacho kilitumika kupambana na Kanisa Katoliki hadi kupelekea mapinduzi makubwa yaliyoleta mabadiliko makubwa kisayansi na kifikra barani Ulaya hadi kupelekea kanisa Katoliki kubomolewa vipande vipande na Vatican kuvamiwa.

Mnamo karne ya 13, Mongke Khan na jeshi la Mongolia walijipanga kuvamia Ulaya Magharibi, hadi wafike Vatican lakini Mungu hakupenda na Mongke akafa wakati jeshi linaenda Ulaya. Lakini Kanisa Katoliki lilikuwa linauogopa sana utawala wa Mongolia hadi kufikia hatua kumtukana Qublai Khan kama The Spawn of Satan. Alivyoona hali inazidi kuwa mbaya Papa akaanza kutuma zawadi Mongolia ili kumshawishi Qublai ashirikiane naye hasa kuruhusu Ulaya itumie The Great Silk Road.

Nafahamu na nakubali kwamba Kanisa Katoliki lina ushawishi mkubwa sana duniani, lakini kuna sehemu huwa linakanyaga kwa utaratibu. Hizo nguvu ambazo mnataka kuwapa nadhani nyingine mnazidisha na pengine mnakuwa na mawazo sana yasiyo na kichwa wala miguu. Hapa Tanganyika wakati wa Ukoloni kuna baadhi ya Mapadri wa Kizungu ambao walimshawishi Chief Edward wa Wamassai adai uhuru wa Wamassai peke yake nje ya Tanganyika lakini, hola, akashindwa.

Mwisho kabisa, Kanisa Katoliki lilipotawala Ulaya kuanzia karne ya 5, kipindi hiki kiliitwa KIPINDI CHA GIZA (THE DARK AGES), ambako Ulaya ambayo ilitawala dunia kwa uvumbuzi, sanaa, majeshi na utaalamu mbalimbali ilioza na kupoteza mwelekeo. Watu hawakuruhusiwa kusoma wala kufikiri (lilikuwa ni kosa kufikiri kama mtu huru). Walificha na Biblia na kusema kwamba mwenye mamlaka ya kutafasiri Biblia ni Papa (The Pontifex Maximus a.k.a The Pontiff) ambaye ndiye alikuwa ni mjumbe wa Mungu duniani (The Vicar of Christ). Baada ya Kanisa Katoliki kupoteza nguvu Ulaya baada ya kuzaliwa Uprotestanti, Vita ya Miaka Thelathini (thirty years war) na kutokea mapinduzi ya kisiasa Ulaya ndiyo kikaanza kipindi cha The Enlightenment ambacho kilizaa dunia ya leo ambayo tunaishi.

Kikubwa kinachonichekesha juu ya hizi siasa za Waprotestanti na Wakatoliki, ni kiwango cha Ujinga kilichopo kichwani kwao. Mtu anakaa kabisa anaanzisha uzi akisifia dini ambayo Mzungu Kaisari Constantine, Martin Luther au Ellen G, White walianzisha (Upuuzi, puuzi tu wa mwafrika): Wengine wasiokuwa na akili pia kama yeye wanakuja kumuunga mkono kutetea hii nadharia ya kijinga ambayo kama ina ukweli wowote ule basi Taifa hili haliwezi kuendelea na kuwa taifa la watu huru. Maana watu wanakaaa kabisa wanafurahia nchi yao kuongozwa tokea The Vatican.

Pik Botha aliposema mwafrika hana akili wala hana tofauti na mnyama, nikiangalia huu uzi na wachangiaji wengi nadhani kuna sehemu alipatia. Mwafrika hata umpe bunduki ataanza kuua mwenzake na wala siyo mzungu (Huu uzi ni ushahidi tosha).......


WALE RELIGIOUS ZEALOTS AND ENEMY OF REASON & COMMON SENSE POVU RUKSA !!!!!!!!!

Naheshimu ulichoandika ila mtazamo wako Uko kina dhehebu zaidi kwamba vingi vilivyitokea duniani vilikuwa ni kama vita ya Bill Gate na Tesla.... not kama they are enemies but I can be a little smarter than you.

Jesuits ni taasisi ya kishetani so as the catholic church and Vatican... makanisa yote makubwa duniani pamoja na ile imani kubwa yako kwa Lucifer....

Ningependa nipate opinion yako ama connections yako kwa Vatican na taasisi za Ki shetani kama the Commitee of 300, Catholic Church, US, UN, Bill Gate, Communist China & North Korea, Kabbalah, Big tech na Kina Soros, Deep state etc

Isiwe na RC ni powerful or not koz they are all under Lucifer.
 
Kennedy aliuliwa Marekani kutaka kuleta uhusiano wake na Papa kwa kuwa alikuwa Catholics..wajuba wakamwambia hatuabudu sanamu wakamuuwa ...

Aliuawa kwakuwa alikuwa ana mpango wa kumuua Castro the communist/satanist.

US haiko kwa huo utakatifu unaouwaza.... na US iko chini ya Queen na Vatican.....

President anaweza asiwe mkatoliki lakini CIA lazima mseminari na Hata uwe dhehebu gani utafaa ukiwa member wa group fulani la wajenzihuru....

US halitaweza kumkataa Papa... the only one tried ni Trump na Vatican wakamtoa...iko video ya Vatican nenda kwa vortex channel wanajadili DT is dangerous kwa plans zao za corona na vaccines... Soros na media na Dominion Voting did removed him...
 
Mkuu JK alipigwa Nyaraka na Pengo mpaka kuonekana Jamaa bwege

Huyu Huyu Pengo hajawahi mpiga nyaraka JPM

Kanisa katoliki lina sura nyingi sana sana

Usilichukulie poa, Hao ndio waliosababisha ukoloni Africa na unyonyaji

Walijenga makanisa sehemu zenye madini na kuwagawia wazawa nguo


Umewahi fika St Peters Basilica Vatican?

Pale kuna siri na historia nzito

Unamfaham Michael Angelo?

Ukifika Vatican na kutembelea makumbusho utakaa kimya

Hii Dunia kuna watu Walikuwa na akili sana sana

Unamfaham Raphael? Nenda Vatican

Watu walichora na kuchonga kwa 3D

Unajua waliosababisha kiswahili kikue?

Wakati huo Galileo Galilei Mwana sayansi alisema dunia Duara, Kanisa likisubiri Dunia ni tambarale

Unafahamu Galileo alipata nini?

Hawa Mapadri wa kizungu na wageni ni hatari kuliko unavyowaza

Basi mapandikizi wa CIA, Mossad wengi ni Mapadri tena weusi kama mkaa

Mapadre wengi weusi ni pandikizi wa mabeberu

Nashangaa wanasiasa wanatoa hotuba kanisani bila kuogopa Kuw ndio eneo hatari kuliko sokoni
Duhhh Nafikiri weye unawajua wazi wazi Marehemu Ustadhi Ilunga alisema wazi wazi Mfumo Kristo hilo jambo lipo na litaendelea kuwepo mpaka paleee vipofu watakapo amua kuona nafikiri umenielewa hapo ndio maana nchi hii ukitaka upate tabu basi anza kuwamsha watu kwa kusema nchi mfumo kristo hawatakuacha hata cku moja au utapotezwa dakika tu .Mossad na hao wengine wanawatumia sana Mapadre tena wakuleteeni mfano wa watu kama nyie mukajua wenzenu weee c mchezo kumbe mwenzako ana satalite zote katika room yake.
 
mimi sio mkatoliki, ila naamini pamoja na kwamba wakristo wa kikatoliki ndio wengi zaidi tz, lakini katoliki wapo liberal zaidi. kwenye makanisa yetu sisi tupo very conservative and we don't compromise. imagine kwamfano Gwajima angekuwa Rais....au makamu wa rais. kuna umuhimu wa kutenganisha mambo ya church na serikali, ukubaliane na wote unaowatawala hata kama sio wa imani yako, na wakatoliki wapo vizuri kwenye kucompromise vitu wasivyokubaliana navyo.

the same applies kwa dini zingine, chukulia mfano siku tuwe na rais au makamu wa wale wavaa vinjiwa na kakofia ka mviringo.
 
Nayaheshimu sana na mno Madhehebu mengine yote ukiachilia langu la Katoliki, ila kwa Tanzania hii na Nguvu ya Kanisa Katoliki tokea Uhuru na lilivyojikita indirectly katika Siasa za Tanzania huwezi kuwa Rais wa Tanzania au Makamu kama siyo Mkatoliki. Ukilibishia hili unataka tu Ligi isiyokuwa na maana kwani ndiyo Ukweli wenyewe.

Huko nyuma nakumbuka nilisema na leo narudia tena Kusema hapa hapa JF kuwa hata wale Marais wa Dini zingine waliowahi Kutawala ( Kuongoza ) Tanzania pia huwa ni lazima iwe ni kwa Uwazi au Kificho waende Vatican kwa Papa na ilipo Ngome Kuu ( kama si Kitovu ) Cha Ukatoliki ili Kujitambulisha.

Na hii Nguvu ya Ukatoliki haijaibuka tu bali ni Makubaliano ' Maalum ' yaliyoluwa ya ' Kimkakati ' zaidi tokea Awamu ya Kwanza ambayo imepelekea kuwa na Kiapo cha ' Siri ' kwa Watawala ( wenye Dhamana ) kuwa nafasi zote zinaweza Kutwaliwa na Madhehebu mengine.

Ila kwa Urais au Makamu wake piga ua si Ombi bali ni lazima awe Mkatoliki na hili wala halina Mjadala na kwenda nalo Kinyume ni Kujitafutia matatizo hasa ikizingatia ndiyo Dhehebu Kubwa Tanzania na lenye Waumini wengi kama ilivyo Duniani lakini pia ndiyo inaaminika kuwa ni Werevu na Wasomi wazuri.

Kwa wale Wakristo wenzangu ambao mnaota ( mnawaza ) kuja kuwa Marais Tanzania miaka ijayo Generalist nakuambia ( nakuambieni ) mapema tu kuwa kama hutokei katika Dhehebu Kubwa la Katoliki sahau labda utaishia tu kuwa Waziri Mkuu au Nafasi zilizopo za chini.

Hata Mama nae si kwamba alichelewa Kumchagua ( Kumteua ) Makamu wake Kimakusudi ila alishatahadharishwa mapema tu na Watu waliokuwa wanalijua hili kuwa lazima Mteule wake awe Mkristo lakini pia atokee katika Dhehebu Kubwa, lenye Nguvu na Ushawishi la Katoliki.

Mlionidhihaki huko nyuma endeleeni tu.
.
 
Kua na mbuzi wanaokaa mjini kwa kula na kulala bure kwa mashemeji zenu siku bwashee atarudi kwenu kukutolea mahari, yaani akili hizi sio za mtu anaeamka asubuhi kusaka bali analishwa

Huna IQ ya Kuelewa huu Uzi hivyo tulia.
 
Mkuu JK alipigwa Nyaraka na Pengo mpaka kuonekana Jamaa bwege

Huyu Huyu Pengo hajawahi mpiga nyaraka JPM

Kanisa katoliki lina sura nyingi sana sana

Usilichukulie poa, Hao ndio waliosababisha ukoloni Africa na unyonyaji

Walijenga makanisa sehemu zenye madini na kuwagawia wazawa nguo


Umewahi fika St Peters Basilica Vatican?

Pale kuna siri na historia nzito

Unamfaham Michael Angelo?

Ukifika Vatican na kutembelea makumbusho utakaa kimya

Hii Dunia kuna watu Walikuwa na akili sana sana

Unamfaham Raphael? Nenda Vatican

Watu walichora na kuchonga kwa 3D

Unajua waliosababisha kiswahili kikue?

Wakati huo Galileo Galilei Mwana sayansi alisema dunia Duara, Kanisa likisubiri Dunia ni tambarale

Unafahamu Galileo alipata nini?

Hawa Mapadri wa kizungu na wageni ni hatari kuliko unavyowaza

Basi mapandikizi wa CIA, Mossad wengi ni Mapadri tena weusi kama mkaa

Mapadre wengi weusi ni pandikizi wa mabeberu

Nashangaa wanasiasa wanatoa hotuba kanisani bila kuogopa Kuw ndio eneo hatari kuliko sokoni
Kwa Siri hao ndo wenyewe
 
Back
Top Bottom