Kwanini Kanisa Katoliki huwa linaingilia masuala ya kisiasa kwenye nchi za Afrika?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,114
49,840
RC wanazingua DRC Congo wameshaanza mabishano na Rais Felix Tshisekedi.

RC hao hao Wanazingua Zambia,Wanabishana na Rais Hakainde Hichilema

Na Sasa RC hao hao Wanaingilia masuala ya Serikali hapa Tanzania kwenye issue ya Bandari na DP World..

Hiki.ni chama Cha siasa Kwa mlengo wa dini au? Na hii hutokea ikiwa Rais sio wa Upande wao au hawakumuidhinisha..

My Take
Je RC ndio hutoa hatimiliki ya nani awe Rais? Lazima lifanyike jambo kukomesha hii tabia.

===
Matukio ya hivi karibuni ya maoni makali kati ya Rais wa Zambia Hakainde Hichilema na kiongozi wa Kanisa Katoliki huko Lusaka, mji mkuu, yanadhihirisha uhusiano wenye migawanyiko kati ya viongozi hawa wawili katika nchi ambapo imani ni mali takatifu.

Kanisa Katoliki limeishambulia, likiamini kuwa demokrasia imepungua katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Rais Tshisekedi amelishambulia kanisa hilo, akiwataka wazuike.

Felix Tshisekedi analielezea hilo kama "mkondo hatari". Kulingana na rais wa Kongo, Kanisa Katoliki limekwenda kinyume. Na wakati uchaguzi wa urais unakaribia, jukumu la taasisi ya kidini ni kupatanisha badala ya kuongeza mafuta kwenye moto.

Hata hivyo, maaskofu wa Kongo wameamua kupinga rais wa Kongo. Wanachama wa Baraza la Maaskofu la Kongo (CENCO) wanasema, raia wa Kongo wanapaswa "kuamka" kutoka "usingizi" wao na kudai uchaguzi wenye uaminifu.

Lakini zaidi ya yote, maaskofu wanafikiri tunashuhudia "kurudi nyuma kusikitisha" nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), "ambako kunajidhihirisha kwa ukandamizaji wa vurugu wa maandamano ya upinzani, kizuizi cha uhuru wa harakati za wapinzani, jaribio la sheria za ubaguzi, kutumia vibaya sheria na kukamatwa kiholela".

Kitu kinachomkasirisha Felix Tshisekedi. Alipewa mwaliko Jumapili kuzungumza wakati wa sherehe za miaka 25 ya uaskofu wa Askofu wa Mbujimayi, rais alizindua waraka halisi dhidi ya Kanisa. "Serikali ya Kongo na Kanisa Katoliki wana jukumu la kushirikiana na kutembea pamoja," alionya. Na hii ni fursa kwangu kutoa tahadhari inaonekana kuhusu mkondo fulani ulioonekana ndani ya Kanisa Katoliki. Mkondo ambao ningeelezea kama hatari, hasa mwaka huu wa uchaguzi.

Na rais wa Kongo anawaita Kanisa Katoliki "kutangaza upendo, umoja" na "kuwaongoza wana wa Jamhuri ambao wanashiriki katika siasa kwa njia sawa".

Swali nadra nchini DRC, nguvu ya Kanisa ni kubwa sana. "Kanisa Katoliki huko Kongo kwa muda mrefu kimekuwa na jukumu fulani katika mchezo wa kisiasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Hii haikuwa ya sasa, ilikuwa tayari ina jukumu muhimu katika mfumo wa kisiasa wa Kongo, kabla ya ukoloni. Kuna ushawishi ambao umekuwa ukiendelea kwa miongo kadhaa," anaelezea Trésor Kibangula, mchambuzi wa kisiasa wa Ebuteli, Taasisi ya Utafiti wa Kongo juu ya Siasa, Utawala na Vikosi.

Lakini kwa CENCO, Kanisa sasa ni kimbilio tu. Na ngome dhidi ya mabwana waliopita. "Siku ambayo tutakuwa na watawala ambao watatunza vizuri watu, Kanisa litajitokeza kidogo sana katika maswali ya kijamii na kisiasa," asema Donatien N'shole, askofu na katibu mkuu wa CENCO.

Kauli ya Félix Tshisekedi inaonyesha kwamba kuna mvutano kati yake na maaskofu. Rais wa Kongo ana miezi sita iliyobaki kujaribu kuishawishi CENCO kuwa zaidi ya upande wowote.
 
RC wanazingua DRC Congo wameshaanza mabishano na Rais Felix Thisekedi.

RC hao hao Wanazingua Zambia,Wanabishana na Rais Hakainde Hichilema

Na Sasa RC hao hao Wanaingilia masuala ya Serikali hapa Tanzania kwenye issue ya Bandari na DP World..

Hiki.ni chama Cha siasa Kwa mlengo wa dini au? Na hii hutokea ikiwa Rais sio wa Upande wao au hawakumuidhinisha..

Mmh
 
Ok

Vijana wa siku hizi bwana hamjui mambo mengi sana

"ROMA LOCUTA CAUSA FINITA est" huu ni msemo wa kilatini na ndicho alichokutananacho mwalimu wa kanisa na huyu huwezi kukamilika kuwa Padri bila kumsoma anaitwa the Bishop of hippo maeneo ya north Afrika ya sasa

Rome has spoken the decision of the pope is Final

Mkuu wewe tambua the decision of the pope is Final huruhusiwi kuhoji yatakutokea puani

Papa akiongea ndio tamko la rumi na na ndio tamko la mwisho

Ulishawahi ona wakatoliki wanahoji kwanini Padri anahamishwa hamishwa

Ukiwa mkatoliki neno la Askofu ndio mwisho ,Wao wanaletewa padri na anaweza ondolewa ,Muumini hayakuhusu

Yule Ruwaichi unae muona hapo Dar akisema Padri wenu namtoa hakuna muumini wa kuhoji ndio inaitwa "ROMA locuta Finita causa" maana yake The decion of rome is Final ,Rome has spoken

Who are you in the church?

Kama hutaki maamuzi ya kanisa hama kanisa kama akina luther hakuna kubembelezwa katoliki huko

Luther akasepa na lutheran yake
 
The decision of Port is Final
 
Tanzania ni tofauti. Kuna Maaskofu umri wa Pengo wamesomeshwa enzi za Nyerere wengi wao ni TANU YouthLeague wamepita JKT ni CCM damdam, huwawezi.

Then kuna newcomers enzi za utandawazi kama huyu anayehoji wale 19 wanamwakilisha nani, scattered off and on.
RC wanazingua DRC Congo wameshaanza mabishano na Rais Felix Tshisekedi.

RC hao hao Wanazingua Zambia,Wanabishana na Rais Hakainde Hichilema

Na Sasa RC hao hao Wanaingilia masuala ya Serikali hapa Tanzania kwenye issue ya Bandari na DP World..

Hiki.ni chama Cha siasa Kwa mlengo wa dini au? Na hii hutokea ikiwa Rais sio wa Upande wao au hawakumuidhinisha..

My Take
Je RC ndio hutoa hatimiliki ya nani awe Rais? Lazima lifanyike jambo kukomesha hii tabia.

RC wanazingua DRC Congo wameshaanza mabishano na Rais Felix Tshisekedi.

RC hao hao Wanazingua Zambia,Wanabishana na Rais Hakainde Hichilema

Na Sasa RC hao hao Wanaingilia masuala ya Serikali hapa Tanzania kwenye issue ya Bandari na DP World..

Hiki.ni chama Cha siasa Kwa mlengo wa dini au? Na hii hutokea ikiwa Rais sio wa Upande wao au hawakumuidhinisha..

My Take
Je RC ndio hutoa hatimiliki ya nani awe Rais? Lazima lifanyike jambo kukomesha hii tabia.

Kanisa hutoa maoni hawalazimishi.
 
Dini zote zinatamani kuongea kwenye siasa za nchi. Tofauti ni kwamba unapoona haziongei basi ujue hazina mdomo.(wafuasi wengi wa kusapoti)

Ndiyo maana hutasikia RC wanaongelea siasa za Misri au Algeria, ni Kwasababu huko hawana mdomo.

Waislam,wasabato,walokole wote wangependa kupata mic na chance ya kutawala mwenendo wa siasa za nchi ili ziendane na matakwa ya dini zao

Unafiki unakujaga pale dini tofauti na Yako akiongea unamlaani asiongee lakini wa dini yako akiongea unasifu na kusapoti., Kwasababu unataka dini yako itawale dini zote.

Tukubalini kushare mic, Kila mwenye mdomo na aongee.

Hivyo jibu lako kwa ufupi ni kuwa RC wanaongea Kwasababu Wana mdomo, Wana Mic, na wanacho Cha kusema.
 
full stop.
 
Sisi ni dua na ghadhabu dhidi ya Walokole kama leo Dua imepigwa pale Tanga ya kumuombea Raisi wetu dhidi ya husda za walokole

angry-arab.gif
 
RC wanazingua DRC Congo wameshaanza mabishano na Rais Felix Tshisekedi.

RC hao hao Wanazingua Zambia,Wanabishana na Rais Hakainde Hichilema

Na Sasa RC hao hao Wanaingilia masuala ya Serikali hapa Tanzania kwenye issue ya Bandari na DP World..

Hiki.ni chama Cha siasa Kwa mlengo wa dini au? Na hii hutokea ikiwa Rais sio wa Upande wao au hawakumuidhinisha..

My Take
Je RC ndio hutoa hatimiliki ya nani awe Rais? Lazima lifanyike jambo kukomesha hii tabia.

Ndo Mwokozi wa Wanyonge Zidi yenu nyie Wanyang'anyi
 
Hao ni
RC wanazingua DRC Congo wameshaanza mabishano na Rais Felix Tshisekedi.

RC hao hao Wanazingua Zambia,Wanabishana na Rais Hakainde Hichilema

Na Sasa RC hao hao Wanaingilia masuala ya Serikali hapa Tanzania kwenye issue ya Bandari na DP World..

Hiki.ni chama Cha siasa Kwa mlengo wa dini au? Na hii hutokea ikiwa Rais sio wa Upande wao au hawakumuidhinisha..

My Take
Je RC ndio hutoa hatimiliki ya nani awe Rais? Lazima lifanyike jambo kukomesha hii tabia.

Labda wanataka kuleta vita vya kimbali tena kama Rwanda! Rais samia kaa nao mbali kanisa la upinde
 
RC wanazingua DRC Congo wameshaanza mabishano na Rais Felix Tshisekedi.

RC hao hao Wanazingua Zambia,Wanabishana na Rais Hakainde Hichilema

Na Sasa RC hao hao Wanaingilia masuala ya Serikali hapa Tanzania kwenye issue ya Bandari na DP World..

Hiki.ni chama Cha siasa Kwa mlengo wa dini au? Na hii hutokea ikiwa Rais sio wa Upande wao au hawakumuidhinisha..

My Take
Je RC ndio hutoa hatimiliki ya nani awe Rais? Lazima lifanyike jambo kukomesha hii tabia.

Jawabu ni rahisi: Mungu wa Biblia ni mwanasiasa, mwenye hadhi ya Rais wa Taifa la Wana wa Israel, na Musa akiwa Waziri Mkuu wake. Kwa hiyo, hata mahalifa wa Mungu huyo hapa duniani wanaweza, na wanapaswa, kufanya siasa. Umesahau tunaposali sala ya Baba yetu tunasema:

"Baba yetu uliye mbinguni,
Jina lako litukuzwe,
Ufalme wako ufike,
Utakalo lifanyike duniani kama huko mbinguni,
Utupe leo mkate wetu wa kila siku,
Utusamehe makosa yetu
Kama nasi tunavyowasamehe wale waliotukosea
Usitutie katika vishawishi
Lakini utuopoe maovuni.
Amina"
 
Back
Top Bottom