Nilivyovuka vikwazo vya kidini kutetea penzi

Nilivyovuka vikwazo vya kidini kutetea penzi

Status
Not open for further replies.
Hii story yako inamikumbusha dada mmoja kule Tanga yeye alikuwa mkristo alipata boy friend half caste wa ki-Arabu, yule kijana baba yake alikuwa Dubai binti wazazi walimgomea kubadili dini akatia ngumu aliolewa na jamaa kwakweli walipendana.

Wazazi sasa hivi hawajali tena tofauti yake ya dini yeye ndiye amewajengea nyumba kwa msaada wa mume wake na amewafungulia biashara.
 
Nimekusomaa lakini sikuona mahali ulipokivukia hicho kizingiti cha dini. Kumbe sasa naamini kuwa; Mwanamke hana dini!!!! Ukaja na bashasha hapa kutuambia kuwa umebadili dini kwa sababu ya mwanamume?? Je, huyo mtu ndo mola wako?? Waweza fanikiwa saana kidunia ila akhera ukaikosa. Hukumbuki kuwa ipo siku utapewa sanda tu kama mali yako kuubwa sana??
Sikushauri hata urudie dini yako kwani utakuja ambukiza na wengine
Yote nayajua , huwezi kuwa na ushauri mzuri zaidi niliopewa na wazazi wangu hayo mengine hata wewe utapitia
 
Kwa hesabu za haraka kutoka 2008 mpaka sasa ni kama miaka 9, nikitoa miaka 3 ya ualimu inabaki 6. Miaka 6 tu mmeuaga umaskin na kuajiri watu 300, si mchezo sijui mna kiwanda
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom