Ahead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 2,405
- 2,724
😀😀😀 sio lazima ushawishike!
Sawa Mkuu😀😀😀 sio lazima ushawishike!
Ila kumbuka kwamba upendo wa kweli hauchagui dini wala rangi. Ndicho nilichojifunza
Usikate tamaaHongera kwa kuvuka salama.umenipa changamoto nimepitia wakati kama Wako always upande WA familia wametaka nibadili dini kuwa upande WA Pili. Nashukuru mwanamke ananipenda na tunapendana haswa.Upendo kwetu Ni mkubwa kuliko chochote.
InshallahHongera na nakuombeeni kheri.
Aminahongera mama na endelea kubarikiwa
Hakuna nisichokijua hata wewe ukitaka nikufundishe tafuta muda..kifupi Nina amani maina nipo kwenye mwanga zaidiDada Salma habari yako, umesema kwamba wazazi wako ni waislam kwa hiyo na wewe ukajikuta unaangukia huko, naomba nikuulize hivi je huo uislam wako wewe ni wa kurithi tu kwa kuwa baba na mama ni waislam au uliusoma uislam na ukajua taratibu zake?.
Maana unaweza ukajifariji kuwa umetetea upendo wako lakini hukujua kile ulichokiacha kwa sababu ya upendo kina thamani gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana nimemfuataHadithi yako nzuri ila mimi Yesu wangu ni wa thamani kuliko chochote chini ya hili jua...mapenzi , mali za dunia hii tutaziacha
Sent using Jamii Forums mobile app