Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

Focustz na Ugumu wangu ni Verified Matapeli......

Ubaya wa JF,, mtu anaweza kuacha kutumia ID hio aliyofanyia utapeli,, na akajiunga na nyingine.... Na utakuta yupo hapa na yeye ana comment anamtukana tapeli ilihali yeye ndio tapeli mwenyewe...

Jeiefu ni ngumu sana...
[emoji23][emoji23]
 
Niliambiwa na jamaa kanifuata pm tukaanza urafiki kidogo akaniambia nitumie elfu 30 ndio nikuoe nilipokataa nilichezea matusi sio ya nchii hii ya cuba town
🤣🤣🤣 Sasa hiyo 30 ndio kilikuwa ni kishika uchumba ama vipi?!
Wewe ndio uumpe hela sasa hapo muolewaji ni nani?🤣
 
Pole sana. Upo mwaka wa ngapi? Nenda ofisi ya Ustawi wa Jamii wakuandikie barua ya utambukisho kisha itaenda chuo chuo nao wataisaini na kuipeleka bodi ya mikopo. Simple tu mkopo wako utaongezwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda niseme jambo muhimu sana.
Huyu ukimweka kwenye kundi la matapeli moja kwa moja hafiti.
Mimi naweza kumuita ni omba omba.
Kwangu alikuwa anakopa na kurudisha.

Na hata senti ndogo alizoomba labda hakurudisha wala siwezi kumuita eti amenitapeli.
Nilishajua alivyo kwa hiyo nilichokuwa nampa nilihesabu kama sadaka hata asiporudisha haikunipa shida.
Pili aliwaweza watu wengi sababu naye akizipata aliwaweka watu kikao na kuwahudumia.
Hapo ndipo aliwaweza mabinti wengi wa humu[emoji28][emoji28]
Sijui kwa upande wa mbususu kuwa wangapi aliwaweza lkn ni mtu mwenye uwezo mkubwa kuwaweka watu kati.
Na wengi humu anawajua kwa sura.
Watu wa hivi ni wa kuhurumia. Na wanahitaji msaada. Mara nyingi kuna uraibu fulani huwasumbua.
 
Back
Top Bottom