Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,175
- Thread starter
- #81
SEHEMU YA 43
Halima aliposikia sauti ya Salama, harakaharaka akaja na kusimama pale mlangoni huku akiwa na shuka alilolifunga mwilini mwake, uso wake ulikuwa kwenye tabasamu kubwa, alimwangalia Salama.
Halima: Kama yeye hataki, mimi nakuja kula....
Halima hakujua kilichokuwa kikiendelea mule ndani, hakujua ni kwa jinsi gani Salama aliumia moyoni mwake, huyo alikuwa msichana mwingine, si yule Irene niliyekuja naye siku ile, alikuwa mwingine kabisa.
Hapo ndipo alipojua kwamba mimi ni malaya, ila pamoja na hayo, eti hakutaka kuniacha. Halima alipoondoka, kama kawaida mapenzi yake yalikuwa makubwa mno kwangu, hakuacha kunijali, alinithamini na kuanza kujiuliza alikuwa na moyo gani juu yangu? Yaani kila nilichojiuliza, nikakosa jibu kabisa.
Je, nini kitaendelea?