Nilivyofurahia Bilicanas kuvunjwa

Nilivyofurahia Bilicanas kuvunjwa

Jiwe alikua rol model wako nn? Maana jamaa alikua na roho ya kutu kiasi hapendi fulani afanikiwe....
Alichukia sana kuona watu flani wanapata mafanikio
IMG-20210412-WA0100.jpg
 
binafsi nina kumbukumbu nyingi sana nzuri kuhusu club bilicanas. ndio night club pekee iliyonikutanisha na vijana wa "don-tauni" waliovuma late 90s to early 2000s.

ule usemi wa "kaunta ya juu" ulibuniwa na vijana wala bata wa miaka hiyo kutokana na counter ya juu iliyojengwa ndani ya hiyo club.

ndiyo night club iliyonikutanisha na marehemu steve2k(castrol ponella), marehemu complex na wengineo wengi wa nyakati hizo. ilikuwa ni nadra kuwakosa.
Alikuwa anafanyia biashara kwenye nyumba ya serkali na kodi halipi. Hiyo nyumba ilikuwa siyo yake na amefanya biashara hapo zaidi ya miaka 50 akikaidi kulipa rent.
 
Ma ccm yanadhani tajiri akikosa basi wao walala hoi utajiri utahamia kwao.
KUMNUNIA TAJIRI HAKUONDOI UMASIKINI WAKO
Kumbuka pia, kumchekea tajiri hakukupi utajiri wake
 
Bliz ilipeba taswira ya club tz sasa sisi tuliopo ulaya tukirudi tz sijui tunakutana wapi ili kuonana na ndugu zetu ambao tumeachana miaka mingi maana enzi za bliz ukitua bongo tu basi night lazima ukatie sign bliz kama wewe mtu wa bats ukifika pale mnakutana wadau kibao waliotoka ughaibuni ila wamekuja tz kusalimia

Totoz sasa uwiii hivi chotara wa ilala, kariakoo wanauza wapi siku hizi
Hivi TZ ni Dar Es Salaam tu.
 
Na bado nyie si ndio mnakuwaga na wivu na wachaga? Wachaga wana akili nyingi huwez kuwahujumu kwa namna yoyote utaaibika tu
Mbowe ni tajiri tangu kitambo Ana mikampuni uk,usa,sauz,Nairobi ,Dubaï etc sembuse hicho ki billicanas? Jutia ujinga wako
Unaota nini? Hizo kampuni angekuwa nazo angekuwa anahangaika na shillingi billioni mbili. Mradi wake mkubwa alioachiwa na Wachagga wenzake ni CHADEMA, ndiyo maana haondoki. Janja yake ya kuikopesha CHADEMA na kuongeza maziro mbele iliishajulikana. Ndiyo maana wenye uwezo wa kisiasa wanapukutika tu kutoka CHADEMA. Kama wanadhani JIWE ndiye adui, mbona wamenyamaza kuwaondoa wale wabunge. Walisuka kuwaweka ndugu na wake zao, kumbe wanawake wale wakawazidi kete. Sasa wananuniana tu.
 
Unateseka ukiwa wapi?
 
!!!!!!??????
 
Alikuwa anafanyia biashara kwenye nyumba ya serkali na kodi halipi. Hiyo nyumba ilikuwa siyo yake na amefanya biashara hapo zaidi ya miaka 50 akikaidi kulipa rent.
una hakika kodi alikuwa halipi?.
jiwe kawajaza chuki na roho mbaya watu maskini ili muwachukie matajiri.

haya sasa, mbowe kahamishia biashara zake dubai na mpaka leo bado anadunda. chuki yako imeshindwa kumkwamisha.

jiwe kafa, kakuacha wewe mtu maskini na umasikini wako.
 
Alikuwa anafanyia biashara kwenye nyumba ya serkali na kodi halipi. Hiyo nyumba ilikuwa siyo yake na amefanya biashara hapo zaidi ya miaka 50 akikaidi kulipa rent.
Walipoamua kuivunja walipata faida gani? Walitengeneza nafasi ngapi za ajira, walitengeneza soko gani kwa wakulima na wafugaji ? Mtu masikini wa fikra na mwenye roho mbaya ni ukoma !!
 
Wakati club hii kongwe ilivyokuwa inaharibiwa mimi nilikuwa nafanya biashara ya chips pembezoni ya club. Kwakweli nilikuwa naingiza sio chini ya laki kila siku ya club.

Binafsi nilikuwa simpendi Mbowe kwa sababu nilihisi ni mwizi tu hivyo wakati club yake inaharibiwa nilifurai sana moyoni nikajua jizi limekamatwa.

Nilikuwa nina mawazo finyu kwasababu sikujua kuendelea kuwepo kwa club ile ndio ilikuwa maendeleo ya biashara yangu.

Sasa hivi biashara nimefunga na hali yangu mbaya sana kiuchumi na nikimuangalia Mbowe yuko vizuri tu.

Sasa hivi natamani bills irudi tu kama Zamani. Nimegundua wivu ni mbaya sana.

Unaweza hisi mwenzako akifilisika wewe ndio unapanda kumbe yeye ndio anaekufanya upate kipato bila kujijua.

Bora mbowe anisamehe na waliovunja club wapotee kabisa.
Yale yaye ya nyani alomuua mkulima
 
Inawezekana umeandika Hii meseji ukiwa unapeleka ujumbe kwa jamii Lakini sio wewe muhusika bali umetumia msamiati au usanii wa lugha
 
Alikuwa anafanyia biashara kwenye nyumba ya serkali na kodi halipi. Hiyo nyumba ilikuwa siyo yake na amefanya biashara hapo zaidi ya miaka 50 akikaidi kulipa rent.
Kwa kuivunja, sasa wanapata kodi? Akili gani hizi?
 
Masikini wanaroho mbaya sana (wamejaa chuki na wivu uliopitiliza) ndiyo maana mtu akifanikiwa anatafuta chumba au nyumba ambayo anaweza kulipa hata kodi laki 2 na kuendelea. Km akijenga nyumba anaweka fensi na mbwa mkali. Akitoka anatoka na gari, akirudi yupo kwenye gari
!!!!!!??????
 
Siku zote mtu mwenye akili za kimasikini huwa anafurahia tajiri kufrisika.
Hata km unaenda bar fulani unaagiza kinywaji chako na nyama choma, wapo wenye akili za kimasikini wataanza kukuchukia.
Ndiyo maana matajiri wote duniani huwa hawataki kujenga urafiki na masikini.
Hata mimi nina furaha mpaka leo
 
Jiwe alikua rol model wako nn? Maana jamaa alikua na roho ya kutu kiasi hapendi fulani afanikiwe....
Alichukia sana kuona watu flani wanapata mafanikio
Aluchukia wachaga mno Ila Hadi anakufa wachaga wapo improved Mara 30 ya alivowakuta[emoji3][emoji3]
 
Unaota nini? Hizo kampuni angekuwa nazo angekuwa anahangaika na shillingi billioni mbili. Mradi wake mkubwa alioachiwa na Wachagga wenzake ni CHADEMA, ndiyo maana haondoki. Janja yake ya kuikopesha CHADEMA na kuongeza maziro mbele iliishajulikana. Ndiyo maana wenye uwezo wa kisiasa wanapukutika tu kutoka CHADEMA. Kama wanadhani JIWE ndiye adui, mbona wamenyamaza kuwaondoa wale wabunge. Walisuka kuwaweka ndugu na wake zao, kumbe wanawake wale wakawazidi kete. Sasa wananuniana tu.
Akili za mchunga mbuzi bhana,sasa ukiwa tajiri ndio utakubali ku nambikiwa Kodi? Mbona walimfungia akaunti zake za biashara na binafsi tangu 2018 na hakuwahi kumsujudu jiwe? Jamaa Ana noti sio maskini kama wewe
Aliemfungia akaunti ametangulia ahera amemuacha
 
Back
Top Bottom