Nilivyofurahia Bilicanas kuvunjwa

Nilivyofurahia Bilicanas kuvunjwa

binafsi nina kumbukumbu nyingi sana nzuri kuhusu club bilicanas. ndio night club pekee iliyonikutanisha na vijana wa "don-tauni" waliovuma late 90s to early 2000s.

ule usemi wa "kaunta ya juu" ulibuniwa na vijana wala bata wa miaka hiyo kutokana na counter ya juu iliyojengwa ndani ya hiyo club.

ndiyo night club iliyonikutanisha na marehemu steve2k(castrol ponella), marehemu complex na wengineo wengi wa nyakati hizo. ulikuwa huwezi kuwakosa.
Umenikumbusha mbali sana man
 
Bliz ilipeba taswira ya club tz sasa sisi tuliopo ulaya tukirudi tz sijui tunakutana wapi ili kuonana na ndugu zetu ambao tumeachana miaka mingi maana enzi za bliz ukitua bongo tu basi night lazima ukatie sign bliz kama wewe mtu wa bats ukifika pale mnakutana wadau kibao waliotoka ughaibuni ila wamekuja tz kusalimia

Totoz sasa uwiii hivi chotara wa ilala, kariakoo wanauza wapi siku hizi
 
bado meeting point zipo za kutosha. ila siku hizi hakuna ulazima wa kukutana city center kama zamani. siku hizi tunakutana pembezoni mwa jiji.

zamani viwanja vya bata vilikuwa vichache that's tulikuwa tunakutana eneo moja.

kwa sasa jiji la dar limesambaa sana, almost kila sehemu ina maeneo yake ya kula bata. watu wa tabata wana viwanja vyao vya kula bata, wa mbezi wana viwanja vyao vya kula bata and the same goes to temeke, kinondoni, masaki, mbagara, kigamboni etc.

ukiona mtu anaenda kula bata mbali na makazi yake basi huyo atakuwa na sababu maalum.
 
Pamoja na hayo ila bliz ilitubeba wote yani hata leo ingekuwepo watu wangetumia uko tabata, sinza nk ila night Kali tungekutana bliz

Sawa na jiji la mwanza leo hii wanayo meeting point yao hiyo yani ukikaa mwanza week moja lazima utafika tu hapo sipataji ila wenyeji wa mwanza wanaweza pasema ni wapi
 
uzoefu wangu unaniambia siku hizi vijana wa dar es salaam wameacha kasumba ya kuhamahama viwanja vya starehe mda wa usiku.

nadhani inatokana na ugumu wa kapata fedha kiujanjaujanja na kupelekea kuwa na discipline ya matumizi.

tukija kwa mwanza, ninapokuwa jiji hilo maeneo yangu ya kujidai ni villa park kwa ajiri ya live band(napenda sana live music) na club rockbottom.
 
Vipi kwa wazazi ambao watoto wao wamekuwa mateja kwa sababu kunywa madawa ya kulevya kwenye hiyo club?

Nao washangilie tu kwa sababu wewe ulikuwa unaingiza laki 2?
Kwani ulilazimishwa utumie hayo madawa ya kulevya?,au tamaa zako na ukimbukeni wa kulivamia jiji...
 
Natafakari hili andiko ambalo limeandikwa kwa utani fulani ila wenye vilio ni wengi nchini kwa sasa.
Watu wanalia sikuizi nikisikia anasema anatumbua majipu yani nakasirika kabisa maana ananikumbusha machungu ya kushangilia bills kubomolewa.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wakati club hii kongwe ilivyokuwa inaharibiwa mimi nilikuwa nafanya biashara ya chips pembezoni ya club. Kwakweli nilikuwa naingiza sio chini ya laki kila siku ya club.

Binafsi nilikuwa simpendi Mbowe kwa sababu nilihisi ni mwizi tu hivyo wakati club yake inaharibiwa nilifurai sana moyoni nikajua jizi limekamatwa.

Nilikuwa nina mawazo finyu kwasababu sikujua kuendelea kuwepo kwa club ile ndio ilikuwa maendeleo ya biashara yangu.

Sasa hivi biashara nimefunga na hali yangu mbaya sana kiuchumi na nikimuangalia Mbowe yuko vizuri tu.

Sasa hivi natamani bills irudi tu kama Zamani. Nimegundua wivu ni mbaya sana.

Unaweza hisi mwenzako akifilisika wewe ndio unapanda kumbe yeye ndio anaekufanya upate kipato bila kujijua.

Bora mbowe anisamehe na waliovunja club wapotee kabisa.
 
Back
Top Bottom