Mwanzo nilifurai nikajua kapatikana mtu sikujua kama itanifikia
Vipi kwa wazazi ambao watoto wao wamekuwa mateja kwa sababu kunywa madawa ya kulevya kwenye hiyo club?
Nao washangilie tu kwa sababu wewe ulikuwa unaingiza laki 2?
jambo jema kama umetambua hayoWakati club hii kongwe ilivyokuwa inaharibiwa mimi nilikuwa nafanya biashara ya chips pembezoni ya club. Kwakweli nilikuwa naingiza sio chini ya laki Lila siku ya club. Binafsi nilikuwa simpendi mbowe kwa sababu nilihisi ni Mwizi tu hivyo wakati club yake inaharibiwa nilifurai sana moyoni nikajua jizi limekamatwa. Nilikuwa namawazo finyu kwasababu sikujua kuendelea kuwepo kwa club ile ndio ilikuwa maendeleo ya biashara yangu. Sasaivi biashara nimefunga na haliyangu mbaya sana kiuchumi na nikimuangalia mbowe yuko vizuri tu. Saivi natamani bills irudi tu kama Zamani. Nimegundua wivu ni mbaya sana. Unaweza hisi mwenzako akifilisika wewe ndio unapanda kumbe yeye ndio anaekufanya upate kipato bila kujijua. Bora mbowe anisamehe na waliovunja club wapotee kabisa.
ili usamehewe badili jina uwe kuku mkubwa!![emoji16][emoji16][emoji16]Wakati club hii kongwe ilivyokuwa inaharibiwa mimi nilikuwa nafanya biashara ya chips pembezoni ya club. Kwakweli nilikuwa naingiza sio chini ya laki Lila siku ya club. Binafsi nilikuwa simpendi mbowe kwa sababu nilihisi ni Mwizi tu hivyo wakati club yake inaharibiwa nilifurai sana moyoni nikajua jizi limekamatwa. Nilikuwa namawazo finyu kwasababu sikujua kuendelea kuwepo kwa club ile ndio ilikuwa maendeleo ya biashara yangu. Sasaivi biashara nimefunga na haliyangu mbaya sana kiuchumi na nikimuangalia mbowe yuko vizuri tu. Saivi natamani bills irudi tu kama Zamani. Nimegundua wivu ni mbaya sana. Unaweza hisi mwenzako akifilisika wewe ndio unapanda kumbe yeye ndio anaekufanya upate kipato bila kujijua. Bora mbowe anisamehe na waliovunja club wapotee kabisa.
Basi hautasamehewa kamwe...Hilo ni jina Langu Halisi
Wakati club hii kongwe ilivyokuwa inaharibiwa mimi nilikuwa nafanya biashara ya chips pembezoni ya club. Kwakweli nilikuwa naingiza sio chini ya laki Lila siku ya club. Binafsi nilikuwa simpendi mbowe kwa sababu nilihisi ni Mwizi tu hivyo wakati club yake inaharibiwa nilifurai sana moyoni nikajua jizi limekamatwa. Nilikuwa namawazo finyu kwasababu sikujua kuendelea kuwepo kwa club ile ndio ilikuwa maendeleo ya biashara yangu. Sasaivi biashara nimefunga na haliyangu mbaya sana kiuchumi na nikimuangalia mbowe yuko vizuri tu. Saivi natamani bills irudi tu kama Zamani. Nimegundua wivu ni mbaya sana. Unaweza hisi mwenzako akifilisika wewe ndio unapanda kumbe yeye ndio anaekufanya upate kipato bila kujijua. Bora mbowe anisamehe na waliovunja club wapotee kabisa.[/QUOTEile
"binafsi nilikuwa simpendi Mbowe.."
"wakati club yake inaharibiwa nilifurai sana moyoni.."
''Nilikuwa na mawazo finyu...sikujua kuwepo kwa club ile ndio maendeleo ya biashara yangu.!!''
"biashara nimefunga na hali yangu mbaya sana kiuchumi..''
"NIMEGUNDUA WIVU NI MBAYA SANA"
~Mpende jirani yako kama nafsi yako.
*pole...roho mbaya haijengi
Huyu akili zake kama za jiwe.Roho ya korosho inakusumbua. Pole sana.
Muuza chips Wa kushinda JF? Hahaaa bavicha jipange uje upyaWakati club hii kongwe ilivyokuwa inaharibiwa mimi nilikuwa nafanya biashara ya chips pembezoni ya club. Kwakweli nilikuwa naingiza sio chini ya laki Lila siku ya club. Binafsi nilikuwa simpendi mbowe kwa sababu nilihisi ni Mwizi tu hivyo wakati club yake inaharibiwa nilifurai sana moyoni nikajua jizi limekamatwa. Nilikuwa namawazo finyu kwasababu sikujua kuendelea kuwepo kwa club ile ndio ilikuwa maendeleo ya biashara yangu. Sasaivi biashara nimefunga na haliyangu mbaya sana kiuchumi na nikimuangalia mbowe yuko vizuri tu. Saivi natamani bills irudi tu kama Zamani. Nimegundua wivu ni mbaya sana. Unaweza hisi mwenzako akifilisika wewe ndio unapanda kumbe yeye ndio anaekufanya upate kipato bila kujijua. Bora mbowe anisamehe na waliovunja club wapotee kabisa.
Kwani wewe ni moja ya mateja kwasababu ya club bilicana? Vipi wazazi wako wanajisikiaje?Vipi kwa wazazi ambao watoto wao wamekuwa mateja kwa sababu kunywa madawa ya kulevya kwenye hiyo club?
Nao washangilie tu kwa sababu wewe ulikuwa unaingiza laki 2?
Ma ccm yanadhani tajiri akikosa basi wao walala hoi utajiri utahamia kwao.Wakati club hii kongwe ilivyokuwa inaharibiwa mimi nilikuwa nafanya biashara ya chips pembezoni ya club. Kwakweli nilikuwa naingiza sio chini ya laki Lila siku ya club. Binafsi nilikuwa simpendi mbowe kwa sababu nilihisi ni Mwizi tu hivyo wakati club yake inaharibiwa nilifurai sana moyoni nikajua jizi limekamatwa. Nilikuwa namawazo finyu kwasababu sikujua kuendelea kuwepo kwa club ile ndio ilikuwa maendeleo ya biashara yangu. Sasaivi biashara nimefunga na haliyangu mbaya sana kiuchumi na nikimuangalia mbowe yuko vizuri tu. Saivi natamani bills irudi tu kama Zamani. Nimegundua wivu ni mbaya sana. Unaweza hisi mwenzako akifilisika wewe ndio unapanda kumbe yeye ndio anaekufanya upate kipato bila kujijua. Bora mbowe anisamehe na waliovunja club wapotee kabisa.