luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,918
Akili za mchunga mbuzi bhana,sasa ukiwa tajiri ndio utakubali ku bambikiwa Kodi? Mbona walimfungia akaunti zake za biashara na binafsi tangu 2018 na hakuwahi kumsujudu jiwe? Jamaa Ana noti sio maskini kama weweUnaota nini? Hizo kampuni angekuwa nazo angekuwa anahangaika na shillingi billioni mbili. Mradi wake mkubwa alioachiwa na Wachagga wenzake ni CHADEMA, ndiyo maana haondoki. Janja yake ya kuikopesha CHADEMA na kuongeza maziro mbele iliishajulikana. Ndiyo maana wenye uwezo wa kisiasa wanapukutika tu kutoka CHADEMA. Kama wanadhani JIWE ndiye adui, mbona wamenyamaza kuwaondoa wale wabunge. Walisuka kuwaweka ndugu na wake zao, kumbe wanawake wale wakawazidi kete. Sasa wananuniana tu.
Aliemfungia akaunti ametangulia ahera madukani amemuacha