Nilitoa....Nimerudisha

Ndo utajua kweli umepata kidume cha mbegu ukiona hazungushi shingo ujue umepata mwanaume kapi
Kama mambo mengine yako sawa kunakonihusu mi sina tatizo...hata akitembea amefumba macho poa tu!
 
No grudges....just curious!!

Jealous my be........?

Reallyy?!Naaah...mi napenda kusifiwa na wakaka zaidi.Siwaamini wadada maana najua hawamaanishi na wakimaainsha wana lao jambo!

orait huu mjadala naona umefikisha mwisho namwona TF apo juu keshaitoa avatar yenyewe....sasa kuna kitu gani cha kujadili hapa? LOL

Hommie naona wametoa avatar wametupa kuleee...waweke nini sasa
 
Hahaha!!! Umenikumbusha dada mmoja alikuwa anaulizwa mbona hana marafiki wa kike akasema dah rafiki wa kike akikusifia ujue it's vice versa nilicheka kweli
 
orait huu mjadala naona umefikisha mwisho namwona TF apo juu keshaitoa avatar yenyewe....sasa kuna kitu gani cha kujadili hapa? LOL

Hommie naona wametoa avatar wametupa kuleee...waweke nini sasa
Hommie nilikuwa naangalia tu it was just the matter of time
 
orait huu mjadala naona umefikisha mwisho namwona TF apo juu keshaitoa avatar yenyewe....sasa kuna kitu gani cha kujadili hapa? LOL

Hommie naona wametoa avatar wametupa kuleee...waweke nini sasa
Valeur hainywewi kwa chupa........ Valeur Hawekwi kwenye friji....
Toa avatar tupa kule, leta valeur weka hapa. Usalama jikoni kuzingatiwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom