Nilitoa....Nimerudisha

hahahahaahah mi mzima kabisa...japo hutaki pita mwananyamala!

heheheh...we dare si ndio...nauliza ivi... SALIMIA ako wapi manake kaja hapa katia tena avatar yake ile ila hatuioni

mambo shosti....leo nakuja......Babu anakusalimia apo juu

hommie shosti kanitishia apo juu umeona ?

Kwahiyo mmekonkludi kuwa tuliite daraja la kikwete sio hata kama hela tumekopa korea...au?

Najaribu kutafakari: Hivi hii thread tunajadili kitu gani hasa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom