Nilitoa....Nimerudisha

Nilitoa....Nimerudisha

We kikubwa ukitaka thread iende na watu wakuseme sema anzisha thread za ajabu ajabu....hata usipopendwa utajulikana!!

Ndo maanake kama kumsema Malaria Sugu
 
Hahhahha..,hiyo sithubutu..najali afya yangu!!

Kule Mbozi miaka nyuma wkt niko huko nilikuwa nasikia wanaume wanabakwa na wanawake nikawa najiuliza sipati jibu
 
We nawe umezidi kusifia wadada wenzako!!

Ukiwa na mme wako mnapita mitaani au mmekaa sehemu likipita zigo hilo mme wako asipo geuka na kwambia mpige talaka hapo hapo
 
Kule Mbozi miaka nyuma wkt niko huko nilikuwa nasikia wanaume wanabakwa na wanawake nikawa najiuliza sipati jibu
Mwanaume anabakwaje? hata ile nanihii inaamrishwa kusimama?
 
Kule Mbozi miaka nyuma wkt niko huko nilikuwa nasikia wanaume wanabakwa na wanawake nikawa najiuliza sipati jibu
Duh...nadhani itakua ni kazi ngumu sana aisee!Wanastahili zawadi.....!
 
Ukiwa na mme wako mnapita mitaani au mmekaa sehemu likipita zigo hilo mme wako asipo geuka na kwambia mpige talaka hapo hapo
Khaaa...akiwa na kichwa ka‘ feni ndo tunaagana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom