Teh teh teh teh teh!
Mi nadhani huyu atakuwa na undugu na mwanakijiji. Nampatia big upMkuu CHAI CHUNGU wahusika wakuu katika hadithi yako ni John (mtoto), John(Masigiti), Witness(mama John na pia ni mke wa Masigiti) pamoja na wewe! Tupe na wewe jina lako mkuu! Hatulitaki la Chai Chungu!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Eliza unashangaa uzuri? wapo ila ndhani kikubwa ni jinsi wapendanao wanavyoheshimiana.Haki ya mama wallah! Nimekaa kwenye kikao haya ndio mawazo yaliyokuwa yananitiririka..........hivi kweli Witi ana uzuri gani kwani? Ina maana naniliu ya Witi ni tamu kiasi cha kumpitisha mjeda kwenye milima na mabonde? Jamaa kapita kote Singida Tanga, Musoma Tabora kudadadeki Dar na Tanga hadi Arusha ni Witi tuuuuu? Maskini ya Mungu Witi ndo huyo katiririka mbele za haki lakini angetupaga maujanja ya kuwapagaisha wajeda...........ni hayo tu
jamaa noma kweli hata kama atakuwa ametunga nampa big up, Yheke Mula? amahiya?Mjeda umetisha kaka. Nice story. Is it a true story? Or it is just a fiction?
Wakuu mnisamehe bure maana nilikua busy na mambo mengine.Now I'm back n lts go.......
Wakuu mnisamehe bure maana nilikua busy na mambo mengine.Now I'm back n lts go.......
Kwa kipande kilichobaki naomba nikigawe mara 2 wakuu!