Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

SnowBall
na Ciello, nimeshazichanga za mama ntilie
hapa. Leteni hesabu ya popcorn tukale mishkaki mi nirudi mapemaa
nikapalilie ndoa. Nshachoka mie, movie gani episodes 30!

"Where is koporo@CHAI CHUNGU? Arete sitori bhati two" Mi nimeistukia reo mura! wengine warikesha!
 
Last edited by a moderator:
hahahahah nivea shosti nawe umepigishwa kwata na mjeda??? hahahahah kweli mjeda nomeeeeeeeeeeeeeeeeerrrrrrrr
 
Last edited by a moderator:
Namuona hata mkuu Moshe Dayan naye yumo humu...kasahau kabisa kuchungulia kwenye rada kama ndege za malawi zinaingia bongo!
 
kweri hiri rimura ni noma,mpaka nimeshindwa kuoga nikatakata nilivyo na haraka!
 
41:Nilipitia kwenye ATM kwenda kuongeza salio maana kwa vyovyote nilijua kutakua na shida so bora niende nikiwa full,nivuta kiasi cha tsh laki3,5 hivi.

Nilipofika hospital moja kwa moja kwa dr mapokezi huku nikumuomba dereva tax anisubili,ilinichukua dr2 kumpata dr aliyenipigia simu.

Dr:Karibu mr.
CHAI:thx huku nikimkodolea macho.
Dr:Naweza kukusaidia.
CHAI:my name is CHAI CHUNGU the one u talk with via WITNESS phone.
Dr:Ohhh thank u very much,yes I have important things I want tel u,but pls just relax ok.
CHAI CHUNGU:No b4 u tel me anything pls let me know what's happened to my WITNESS and pls let me see her first.

Baada ya maongezi alinithibitishia kwamba WITNESS AMEFARIKI DUNIA na niliamua kukupigia simu wewe maana ilionyesha wewe ndiye uliyeongea nae mara nyingi siku hiyo na no yako ndio ya mwisho kuongea kwenye simu ya marehemu.

Hatua iliyofuata ni kumpigia simu mzazi mwezie ili atoe maamuzi nini tufanye na kama ana contact za ndg zake ili tuwataarifu,alinijibu yes ana contact za dada zake na angewapigia simu punde baada ya kukata simu yangu.
baada ya maongezi ya simu na my best nikamgeukia dr na kumuuliza nini chanzo cha kifo chake?akaniambia ndio anaanda taarifa na ningeipata asbh ikiwa kwenye death certificate.Niliondoka kurudi home na nilipofika home nilimuhadithia wife A-Z,yani tangu nilivyokutana na WITH mpaka jinsi tulivyoonana ARUSHA ingawa nilifika kipengere cha kumgegeda Arusha.

Asbh niliwahi hospital kufanya utaratibu wa kuiandaa maiti kwa ajiri ya Safari ya SINGIDA maana tayari my best john alishanipa ratiba na tayari alikua angani akijongea kuingia jijini Ars.

Nilipofika hospital nikakuta kuna ujumbe kwamba natakiwa police maana kuna mizigo ya marehemu ipo huko.

Nilienda police nikakabidhiwa mizigo yake kisha nikaipeleka nyumbani kwangu then nikarudi police kuendelea na utaratibu.
Baada ya muda kidogo mr john alifika na sasa tukaanza kufanya maandalizi ya safari pamoja na uoshaji wa maiti.
Tulikubaliana kwamba tukodi fuso ili tubebe mizigo yake yote tuirudishe kwao,baada ya kila kitu kukamilika tulienda kwa mjumbe wake kutoa taarifa huku tukiwa na barua ya police(permit)kuturuhusu kufungua ndani kwake na kuhamisha vyombo...kiongozi huyu alitupa ushirikiano mkubwa Kwani alijitolea kusafiri na sisi mpaka ilamba-SINGIDA.

Nilikua nikijiuliza maswali mengi kichwani kwamba itakuaje tukifika ukweni kwa my friend?maana nilishafika b4 na nikaacha mtiti mkubwa,now ni miaka 11 imepita vp leo narudi tena?
tulifika SINGIDA usiku wa saa2 na tukakuta maandalizi ya mazishi yameshafanyika,na kwasababu maiti ilishaanza kuharibika tulichukua maamuzi ya kumzika usiku huo huo,hii kwangu ilikua na faida maana sikutaka kukumbukwa na mtu yeyote.

Baada ya mazishi tulipumzika ili asbh tujue nini kinaendelea ili mie niwahi kibaruani.

Asbh wakati wa kufungua vitu vya marehemu walikuta kuna box kubwa kiasi likiwa limefungwa as a gift.......
Baada ya kulicheki vzr kwa juu kulikua na maandishi haya:
Ulinitoa kwenye shimo la giza nene,na sasa naelea kwenye mwangaza na rehema za bwana,ama kwa hakika wewe ni nuru ya maisha yangu kaka CHAI CHUNGU.Kwa hiki changu kidogo naomba ukipokee na nikiwa kama dada ako nasema nakupenda sana.

Walitaka kujua who is tha man CHAI na ndipo walipomuita mr John na akawambia nilichomwambia awambie.
Baada ya muda alikuja na kile kibox na kunikabidhi.

Baada ya hapo nilimuomba ruksa bwana john kwamba sikuaga job so naomba niondoke na pia aniagie kwa wafiwa.

Nilifika nyumbani ARUSHA salama na nikapata hamu ya kuifungua zawadi aliyoniachia WITNESS.

Kulikua na saa2 aina ya saa aina ya MONACO moja ya kike na nyingine ya kiume,na simu mbali blackberry 570 na nokia N95.

Nilifurahi ingawa roho ilikua bado inaniuma sana maana tayari WITNESS KISHATOWEKA na hatutaonana kamwe.


.....................................THE END.........................
 
ahsante chai,natamani uwe na hadithi nyengine.sasa kilichomuua ni nini?naelewa alikuwa ameathirika ila mbona uliongea nae vizuri tu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom