Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

Ninakiri kuwa leo utendaji wangu kazini ni below average kwa sababu ya hii hadithi! Siku nyingine sirudii!
Na wewe mjeda usirudie kuweka episodes fupi fupi kiasi hiki! Khaaa!
Jamani SnowBall, Kamanda Moshi na Smile mjeda akija kumalizia nishtueni maana kama ni ulevi umeniingia haswaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Kwa Mara Ya Kwanza MMU Imevunja Recod Kwa Kutembelewa Na Member Wengi Kwa Wakati Mmoja..
vilevile JF imepata Guest Wengi Walio Lazimika Kuregister Kwa Mkupuo!

JF mumfikirie Mjeda Japo Pesa Ya Kumpooza!

nakuunga mguu aaaah sori nakuunga mgegedeo aaaaaaa jamani nakuunga nini hii mkono ati!!!!
 
Dah haya bhana,nikivyofuatilia nikitaka kujua marehemu ni nani,mathalani nimeshamjua ni WIT,then sihitaji sana kujua ni nini kilimua...what i can say RIP WIT
 
Usijali mtu wangu..mie ntakustua...nikuweekee na siti kabisa?
Halaf ujue kuna hapa ndani hata bosi wako naye yupo..
Ukija njoo na viroba aisee.. naona King'asti kaamua kuwa mamantilie hapa, ntakula ugali dagaa mie!
mambo gani ya kuchomeshana mahindi!

Ninakiri kuwa leo utendaji wangu kazini ni below average kwa sababu ya hii hadithi! Siku nyingine sirudii!
Na wewe mjeda usirudie kuweka episodes fupi fupi kiasi hiki! Khaaa!
Jamani SnowBall, Kamanda Moshi na Smile mjeda akija kumalizia nishtueni maana kama ni ulevi umeniingia haswaaaa!
 
Last edited by a moderator:
hehehe, nna maandazi ya jana hapa ntakupa discount. Hii commercial break hapa mtaota nyasi miguuni. Sema basi fasta, niko kibiashara zaidi.

hayo saivi si unauza kwa mafungu au?nipe fungu tatu nikamalizie stori ya mjeda....
 
We lete tu hyo mishkak usisahau na chachandu lol mjeda noma katupeleka depo bila kupenda !nasikia arooo King'asti nyumaz geuka mberee tembea hahahahah
SnowBall na Ciello, nimeshazichanga za mama ntilie hapa. Leteni hesabu ya popcorn tukale mishkaki mi nirudi mapemaa nikapalilie ndoa. Nshachoka mie, movie gani episodes 30!
 
Last edited by a moderator:
Ninakiri kuwa leo utendaji wangu kazini ni below average kwa sababu ya hii hadithi! Siku nyingine sirudii!
Na wewe mjeda usirudie kuweka episodes fupi fupi kiasi hiki! Khaaa!
Jamani SnowBall, Kamanda Moshi na Smile mjeda akija kumalizia nishtueni maana kama ni ulevi umeniingia haswaaaa!

tehe!tehe!tehe!tehe akyaanani! Nitanenepea jf! Kila comment nayopita iko very fun na ulioipita bado hujaja kwenye thread yenyewe!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu kuna member kaniwekea PM kwamba nitafute wafadhi ili niitengenezee filamu.
Please kama kuna mwenye kuweza kupata wafadhili naomba tusaidiane juu ya hili,na nna ahidi ktk mgao wangu basi 20% ntaipeleka kwenye vituo vya kulelea mayatima!
 
Haki ya mama wallah! Nimekaa kwenye kikao haya ndio mawazo yaliyokuwa yananitiririka..........hivi kweli Witi ana uzuri gani kwani? Ina maana naniliu ya Witi ni tamu kiasi cha kumpitisha mjeda kwenye milima na mabonde? Jamaa kapita kote Singida Tanga, Musoma Tabora kudadadeki Dar na Tanga hadi Arusha ni Witi tuuuuu? Maskini ya Mungu Witi ndo huyo katiririka mbele za haki lakini angetupaga maujanja ya kuwapagaisha wajeda...........ni hayo tu
 
39:Tulifika kwake na baada ya maongezi marefu nilifikia maamuzi ya kumpa 1m kwa ahadi ya kumuongezea the same amount kama atafanya vizuri ktk biashara.

Sasa WITNESS ni business woman DAR-MOSHI-ARUSHA.

Msikose sehemu ya mwisho ambayo itamuelezea marehemu WITNESS mkasa wa umauti ulio mkuta na sasa ni marehemu WITNESS.

KOPLO (CHAI CHUNGU),
Je, haya yote yalitokea mwaka gani? na Vipi siku ulipokutana na Mama yako Mzazi hali ilikuwaje? baada ya wewe kuujua ukweli kuwa John, si mwanao kama Mama yako alivyokwambia na wewe ukakaidi?

Ushauri wako nini, iwapo mdogo wako wa Kiume leo akija kwako na Kukutaka ushauri kuwa kapata binti wa "Kinyiramba" toka Shelui au Misigiri na anataka kumuoa!

Matukio haya yamekufundisha nini wewe binafsi, kwenye maisha yako hapa duniani?

.....binafsi nimependa ubishi wako wa kuendelea kumfata-fata WIT, hata hivyo MUNGU yu pamoja nawe hasa kwakuwa una-Roho ya Kusamehe...hongera kwa kumpa Mtaji huyo WIT wako !!
 
Chai Chungu wewe ni kiboko, shigongo haoni ndani kabisa umembwaga vibaya kabisa. Nimesoma wee natamani umalizie mwisho wa Wit!! Ila ni fundisho tusikilize moyo zaidi kuliko hasira za kuua!! Akina mama nao uaminifu ni hatari kidogo kwa wengine, jiweke nafasi ya Wit kuhudumia wanaume wawili tena kwa umahiri bila kuchoka wala kuonyesha mapungufu (Chai Chungu na John Manyama kwa kiwango kikubwa). Cha msingi zaidi hata kama mtu ana afya na uzuri kiasi gani tusisahau kutumia condom, ilimponya Chai Chungu!!!
 
dahh ya leo kali hadi mgongo wa uma
niemsoma hadi mwisho
wasiwasi wangu bongo movies washaiba hapa idea
ole wao tutawaandama
chai chungu leo umetuwza
tiririka basi kuhusu marehemu witness au ndio huyo kazikwa arusha kijenge?
pls malizia
 
Back
Top Bottom