Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

Mjeda umetisha kaka. Nice story. Is it a true story? Or it is just a fiction?
 
Mkuu CHAI CHUNGU wahusika wakuu katika hadithi yako ni John (mtoto), John(Masigiti), Witness(mama John na pia ni mke wa Masigiti) pamoja na wewe! Tupe na wewe jina lako mkuu! Hatulitaki la Chai Chungu!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mi nadhani huyu atakuwa na undugu na mwanakijiji. Nampatia big up
 
Haki ya mama wallah! Nimekaa kwenye kikao haya ndio mawazo yaliyokuwa yananitiririka..........hivi kweli Witi ana uzuri gani kwani? Ina maana naniliu ya Witi ni tamu kiasi cha kumpitisha mjeda kwenye milima na mabonde? Jamaa kapita kote Singida Tanga, Musoma Tabora kudadadeki Dar na Tanga hadi Arusha ni Witi tuuuuu? Maskini ya Mungu Witi ndo huyo katiririka mbele za haki lakini angetupaga maujanja ya kuwapagaisha wajeda...........ni hayo tu
Eliza unashangaa uzuri? wapo ila ndhani kikubwa ni jinsi wapendanao wanavyoheshimiana.
 
Naona leo watu watakesha tena! Yaani Mjeda anafanya watu badala ya kufanya kazi, tunafungua JF kila muda tuone stori inavyoendelea
 
Wakuu mnisamehe bure maana nilikua busy na mambo mengine.Now I'm back n lts go.......
 
Kha,

Yaani na leo pia haitoisha?
Malizia bana hiyo episode ya mwisho.

Pia usisahau kuweka Cast tujue majina ya walioshiriki, executive producer, director, location manager, sound, etc
 
Daaaah! CHAI CHUNGU uwe unafanya editing ili kuwe na mtiririko wa story au mods wanaweza kusaidia!

Nasubiri mwendelezo=
 
Last edited by a moderator:
Hii thread imenifanya niwe zaidi ya mtumwa....nimeshinda toka mchana naisoma tuu....jioni nikasema nikafanye vijishughuli vingine but mawazo yote kwenye stori ya mjeda...nimerudi mda huu naangalia stori kumbe bado haijaisha tuuu?...Duh kuna sehemu ya mwisho tena. Hofu yangu isije ikawa hiyo sehemu ya mwisho nayo ina visub-sections ambavyo navyo vinavisub-sections vyake patanogaje hapo?...Mjeda please, come and finish this thread so that we can fully put and utilize our thoughts/minds together on what we are doing
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom