Nilipotea njia

Nilipotea njia

mwaJ

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2007
Posts
4,074
Reaction score
2,950
Nilipotea muda mrefu kiasi kwamba hata mitaa ya JF nimeshaisahau. Nadhani hata familia yangu iliishakata tamaa ya kuniona tena. Mume wangu Mwita Maranya, wanangu Zion Daughter na snowhite naomba mnipokee. Maisha ya mjini yalinimeza nikasahau familia na rafiki zangu wa JF.
Bujibuji tafadhali naomba unipeleke kwa Mwita Maranya ukaniombee msamaha. Umwambie kuwa ndoa yetu ni ya mke mmoja hakuna cha talaka wala nini. Mie ndio nishaibuka tena.

Rafiki zangu cacico Kaka Kiiza Mtambuzi Evelyn Salt Kongosho Preta Smile BADILI TABIA DEMBA Asprin boss wangu Madame B Elizabeth Dominic Mentor Arushaone watu8 AshaDii naomba mtusindikize maana naona kama vile Bujibuji hatoweza kumkabili Mwita Maranya peke yake.
 
Last edited by a moderator:

Mama nilikumiss sana bora umekuja.Baba nae ameshakuwa kamanda mwaminifu kila siku vikaoni na mikutano.Hii familia ipo mikononi mwako kuirudisha katika umoja. Natarajia hujasahau zawadi.
Karibu sana mama langu pendwa.
 
nilipotea muda mrefu kiasi kwamba hata mitaa ya jf nimeshaisahau. Nadhani hata familia yangu iliishakata tamaa ya kuniona tena. Mume wangu mwita maranya, wanangu zion daughter na snowhite naomba mnipokee. Maisha ya mjini yalinimeza nikasahau familia na rafiki zangu wa jf.
bujibuji tafadhali naomba unipeleke kwa mwita maranya ukaniombee msamaha. Umwambie kuwa ndoa yetu ni ya mke mmoja hakuna cha talaka wala nini. Mie ndio nishaibuka tena.

Rafiki zangu cacico kaka kiiza mtambuzi evelyn salt kongosho preta smile badili tabia demba asprin boss wangu madame b elizabeth dominic mentor arushaone watu8 ashadii naomba mtusindikize maana naona kama vile bujibuji hatoweza kumkabili mwita maranya peke yake.
kha we missed u kwakweli!!! At last u r back, welkam vibaya mnoooooo!
 
kha we missed u kwakweli!!! At last u r back, welkam vibaya mnoooooo!

Asante cacico. This time sitapotea tena. Haya ma whatsapp instagram na manini sijui yanaweza kummeza mtu kimojaaa.
 
Last edited by a moderator:
Mama nilikumiss sana bora umekuja.Baba nae ameshakuwa kamanda mwaminifu kila siku vikaoni na mikutano.Hii familia ipo mikononi mwako kuirudisha katika umoja. Natarajia hujasahau zawadi.
Karibu sana mama langu pendwa.

Mwanangu Zion Daughter nimekuja na zawadi nyingi na nzuri kuliko zile za Wema za birthday.
 
Last edited by a moderator:
karibu sana mwaJ....
mi nnakung'ata sikio tu mmeo Mwita Maranya alishaoa, kuhusu msindikizaji tafuta kidume mwingine Bujibuji alishahama kiumeni, ulivopotea na Arushaone nae kapotea najaribu kuconnect dots hata haziji....kwanu ulipotea nae au? 😛eep:

Dah! Evelyn Salt naona unataka nianguke kwa preasure, huyo mke nitamfanyia vurugu hajapataona. Mie nilipotea peke yangu bana wala sijui kama Bujibuji nae alipotea. Hebu muulize Mamndenyi labda ye anajua Buji alikuwa wapi.
 
Last edited by a moderator:
Heee, hivi upo?
Mumeo Mwita Maranya ni mwanasiasa mahiri sasa.
Hawar a yako Bujibuji kahamia mtaa wa saba kapata jimama jitu zima kuliko hata mie Mamndenyi.

Wanao nao wamezamia wako hukooo ughaibuni, inabidi ujenge familia mpya.

Dah! Evelyn Salt naona unataka nianguke kwa preasure, huyo mke nitamfanyia vurugu hajapataona. Mie nilipotea peke yangu bana wala sijui kama Bujibuji nae alipotea. Hebu muulize Mamndenyi labda ye anajua Buji alikuwa wapi.
 
Last edited by a moderator:
kha we missed u kwakweli!!! At last u r back, welkam vibaya mnoooooo!

Ila hata wewe ni muda sasa.......mzima lakini......?... mwaJ mwaya karibu tena ila mwenzio ninalo .........
 
Last edited by a moderator:
Heee, hivi upo?
Mumeo Mwita Maranya ni mwanasiasa mahiri sasa.
Hawar a yako Bujibuji kahamia mtaa wa saba kapata jimama jitu zima kuliko hata mie Mamndenyi.

Wanao nao wamezamia wako hukooo ughaibuni, inabidi ujenge familia mpya.
Mamndenyi kumbe wee ni jitu zima, mbona ulikuwa ukinidanganya kuwa umetimiza miaka kumi na nane wiki iliyopita???
 
Last edited by a moderator:
karibu tena .....mi nakushauri tutafute sare ya madera,kigomma cha uruguay na keki ya fogivu mi twende nayo hadi kwa mumeo hadi akusamee.
 
Nothing goes for nothing!
Wana familia yako wana hitaji fidia!
 
Back
Top Bottom