Nilipotea njia

Nilipotea njia

Inabidi na wewe uje kuongeza maneno ya busara huyu mkuyra asinitimue nirudi nilikotoka.


Ni afadhali akutimue kuliko akwambie "fita ni fita mura "

Usijali, kaka Mwita ni mwelewa saana
 
Last edited by a moderator:
Ila hata wewe ni muda sasa.......mzima lakini......?... mwaJ mwaya karibu tena ila mwenzio ninalo .........
Preta mimi nipo sana! ila tu viuchochoro vya humu ndani ni shidaaaaaa! siku hizi napotelea kule juu kuangalia ISIS kama wanakaribia Tanzania yangu au bado, kabla hawajaja koo langu nitakuwa nimelichoma ganzi, hawana msalie mtume wale, miss u mo mah!
 
Last edited by a moderator:
Nilipotea muda mrefu kiasi kwamba hata mitaa ya JF nimeshaisahau. Nadhani hata familia yangu iliishakata tamaa ya kuniona tena. Mume wangu Mwita Maranya, wanangu Zion Daughter na snowhite naomba mnipokee. Maisha ya mjini yalinimeza nikasahau familia na rafiki zangu wa JF.
Bujibuji tafadhali naomba unipeleke kwa Mwita Maranya ukaniombee msamaha. Umwambie kuwa ndoa yetu ni ya mke mmoja hakuna cha talaka wala nini. Mie ndio nishaibuka tena.

Rafiki zangu cacico Kaka Kiiza Mtambuzi Evelyn Salt Kongosho Preta Smile BADILI TABIA DEMBA Asprin boss wangu Madame B Elizabeth Dominic Mentor Arushaone watu8 AshaDii naomba mtusindikize maana naona kama vile Bujibuji hatoweza kumkabili Mwita Maranya peke yake.
Ngoja niisimamishe ile sala yangu ya kukuombea upumzike kwa amani.

Siku nyingine uwe unaaga.

Sijakusamehe.
 
Ngoja niisimamishe ile sala yangu ya kukuombea upumzike kwa amani.

Siku nyingine uwe unaaga.

Sijakusamehe.

Babu Asprin naomba unisamehe bure. Si unakumbuka kuwa mie ni mmoja wa wajukuu zako kipenzi?
 
Last edited by a moderator:
He!... Boflo mwezangu kanidelete siku hizi.......nilichomkosea hata sikijui.......

Labda kwa sababu hatukumpeleka Boflo kule kwenye lile jumba la Mbezi Beach kula bata.
 
Last edited by a moderator:
Labda kwa sababu hatukumpeleka Boflo kule kwenye lile jumba la Mbezi Beach kula bata.

Yule kumpeleka jumba la mbezi ataharibu..........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom