Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Nilikuwa naamini kila mzungu ni Padri.
Hahahahaaaaaa kweli hata mimi nilikuwa naamini hivyo...Nilikuwa naamini kila mzungu ni Padri.
Baba Mwanaasha.
hee! Naona hayo mambo wengi mmeyajulia utotoni.
kumbe cku hizi mpaka mtu themanini na ngap vile??
yeeto!.
samahani nimeshangaa kwa kikwetu...
kumbe kikwenu na kikwetu ni kimoja