Nilipokuwa mtoto nili.....

Eee bwn hata ka-Uzi katamu !
Unajua kwa nini ?
Kwa sababu ni mtambuka kuanzia hao waliotuzaa nawao pia walikua watoto !
Ndiyo kusema hamna aliyekwepana na mambo ya ujinga wa kitoto.
Natamani ni'force members wote wachangie huu uzi mi nitoke kwanza maanake nimekaangiwa mayai na vijirost naona vinapoa, acha nipeleke pwani then nirejee

Kweli mkuu na kanatukumbusha very far back... Lol
 
Hiyo namba 3.
Wazungu wote wanajua kingreza
Bibi akisema kalalia ubavu mmoja
Mungu ni mzungu
Niliamini k ya housemade wetu ilikuwa inatiwa sukari kama alivosifiwa na BF wake. nk.nk.nk.nk.
 
Mtu alikua akinitania "mchumba" nalia.. Nafikiri atanioa kweli.
 
Husn ,
pamoja na yote mi naamini umeacha simu/computer yako ukatoka kusindikiza wageni kiduchu, kapita mtoto/mtu mwingine kachezea kakujibia.
Na kama ni wewe basi leo hujaamka vizuri, labda kuna mtu/Jirani kakutibua asubuhiasubuhi.

hehehehehe! We na bishanga mna nini! Mi leo najickia kupga porojo. Kesho nitaanza kumwaga mapwenti. Lol.
 
Niliamini watu wanao vaa miwani ni watu wasomi na wenye akili nyingi,na mi pia niltamani sana kuvaa miwani..ila mpaka leo cjaugua macho.lol.
 
Hiyo namba 3.
Wazungu wote wanajua kingreza
Bibi akisema kalalia ubavu mmoja
Mungu ni mzungu
Niliamini k ya housemade wetu ilikuwa inatiwa sukari kama alivosifiwa na BF wake. nk.nk.nk.nk.

Mmh wewe ulikuwa mkubwa wewe, mi nilikuwa nalala na house girl wetu kwa bed moja na walaaaaa sikuwa na waza kitu, ...
 
Uzalishaji wa watu
Afu nilijua ni tabia mbaya na zinafikiriwa na watoto tu
Hasa zile za kinguo nguo

Kongosho,
Mi sijakuelewa ina maana kama vile TBL kuzalisha bia au TANESCO kuzalisha umeme ukijua ni matusi au?
 
Una bahati sana
Ungelala na @arusha, baba mngoni, mama mchaga!!
Angeshakubemenda siku nyingi na ndi umgewaza kitu

Mmh wewe ulikuwa mkubwa wewe, mi nilikuwa nalala na house girl wetu kwa bed moja na walaaaaa sikuwa na waza kitu, ...
 
Nakuunga mkono CANTA, na pia niliamini ukitaka kumwomba hela mzungu unamwambia" GIVE ME MY MONEY"...
Ndio mambo ya utoto hayo,yani mpaka naanza form one nilikua naamini ivo,kumbe wengi tu alosto!!

Eti umenionea wapi mme wangu Rejao?ukimwona mwambie niko huku!!
 
Back
Top Bottom