Nilipokuwa mtoto nili..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilipokuwa mtoto nili.....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mtalingolo, Mar 2, 2012.

 1. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kunamsemo unasema "KUWA UYAONE" kweli SIO MAGOROFA...
  Nami ndo nayaona sasa, na nadhani msemo huo umeshatimia kwangu,

  Huwa nacheka sana nikikumbuka kipindi nilipokuwa kid(mtoto). Kuna mambo ambayo nilikuwa nikiyaamini kwa mtazamo chanya muda wote wa utoto wangu..
  Ni mengi na nadhani hata wenzangu mnaweza kuwa mmewahi au mmepitia hali kama yangu, itakuwa vizuri kama tutajikumbusha

  Mimi ntaanza na machache ambayo kwa wakati ule nilikuwa nayaamini kutokana na umri wangu
  1. Nilikuwa naamini kuwa baba yangu ananguvu kuliko watu wote, hivo nikichokozwa kidogo naenda kumwambia.

  2. Nilikuwa siamini kama mtu mkubwa huwa anakosa hela(kuchacha),

  3. Nilikuwa naamini kuwa watoto wananunuliwa hospital kutokana na nilivokuwa naambiwa na wazazi.

  4. Niliamini mtu akifa ipo siku atarudi tena duniani...

  5. ...

  6. ...

  Itakuwa poa kama na wewe utatujuza ulikuwa ukiamini/elewa nini kipindi ukiwa kid...
   
 2. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Nitarudi baadae kidogo nikiwa kwenye mood, very good thread
   
 3. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nini tatizo ndugu yangu, asubuh yote hii unakosa mood?? Karibu bwana utie baraka zako...
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa naamini wakubwa hawanyi.
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,045
  Likes Received: 6,485
  Trophy Points: 280
  wewe mtoto mimi mama yako nilikuambia useme hivi 'nilikuwa naamini wakubwa hawaendi haja kubwa'.
   
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,045
  Likes Received: 6,485
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa naamini kabisa kuwa hakuna mapenzi nje ya ndoa.
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  ooh! Samahani mama, nimekosea.
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  duh! Mama mapenzi uliyajulia wapi wakati ulikuwa mtoto.
   
 9. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Nilikua naamini hakuna mzungu maskin!!
   
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Husn,Leo umeamkia ubaazi gani? Maana............
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  funguka bishanga. Maana nini?
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Nilikuwa naamini uzalishaji ni matusi
   
 13. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hahahaa husninyo bwana... Walikuwa wanaenda vyoon nyakati za usiku sana..
   
 14. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ulikuwa unajua kunakitu kinaitwa mapenzi(kupenda/kupendwa) chini ya miaka 8?!
   
 15. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nakuunga mkono CANTA, na pia niliamini ukitaka kumwomba hela mzungu unamwambia" GIVE ME MY MONEY"...
   
 16. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #16
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kipndi kile nilikuwa sijui kama watoto wanazaliwa, niliambiwa wananunuliwa hospital.
   
 17. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #17
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Husn ,
  pamoja na yote mi naamini umeacha simu/computer yako ukatoka kusindikiza wageni kiduchu, kapita mtoto/mtu mwingine kachezea kakujibia.
  Na kama ni wewe basi leo hujaamka vizuri, labda kuna mtu/Jirani kakutibua asubuhiasubuhi.
   
 18. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #18
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  nilikua naamini RAIS ni mtu mwenye akili kuliko watu wote kwenye iyo nchi...
   
 19. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #19
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Eee bwn hata ka-Uzi katamu !
  Unajua kwa nini ?
  Kwa sababu ni mtambuka kuanzia hao waliotuzaa nawao pia walikua watoto !
  Ndiyo kusema hamna aliyekwepana na mambo ya ujinga wa kitoto.
  Natamani ni'force members wote wachangie huu uzi mi nitoke kwanza maanake nimekaangiwa mayai na vijirost naona vinapoa, acha nipeleke pwani then nirejee
   
 20. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #20
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kongosho,
  Mi sijakuelewa ina maana kama vile TBL kuzalisha bia au TANESCO kuzalisha umeme ukijua ni matusi au?
   
Loading...