Nilipokuwa mdogo nilikuwa na uwezo wa kufanya Miujiza

Na wewe yako ni ipi,weka hapa maana at least nacheka kuondoa stress
Nazungumzia Intuition sijui kama unaelewa kuhusu intuition? Mimi sizungumzii miujiza hapa mkuu.

Maamuzi yetu ya kila siku 90% ni intuition sijui kama unaelewa? Kwenye michezo kiasi kikubwa hutumika intuition hakuna muda wa kufikiria kule.

Kwahiyo mkuu endelea kucheka kuondoa stress huku ukijifunza pia.
 
Afu mnataka nchi hii sku moja ije kuwa na nguvu kijeshi kama USA, Israel, Iran, Russian na n.k,msahahau kwa huu ufala
Ila mkuu huu ufala umejaa kwa wazungu kuliko hata afrika, afrika sie tunaamini sana uchawi kuliko hayo wenye kueleza watu humu.
 
Hii ni story yangu na nitatoa na mifano ya vitu nilivyowahi kufanya. Watu wengi hawakujua, lakini kuna matukio kadhaa yaliyotokea nikiwa mtoto ambayo hayakuwa ya kawaida kabisa. Haikuwa mara moja ilikuwa vitu ambavyo vilitokea mbele ya watu wengine pia.

Mfano wa kwanza ulikuwa mvua.

Kuna siku anga lilikuwa wazi kabisa. Hakukuwa na dalili ya mvua hata kidogo. Nilisimama nje nikaangalia juu halafu nikasema tu mvua inyeshe. Baada ya muda mfupi, mawingu yakaanza kukusanyika polepole, upepo ukabadilika, halafu mvua ikanesa. Watu walishangaa lakini hawakujua nini kilitokea dakika chache kabla.

Mfano wa pili ulitokea nyumbani.

Kuna siku taa ya chumbani ilikuwa imeharibika kabisa, haikuwaka hata kidogo. Watu walijaribu kuigusa mara kadhaa bila mafanikio. Nilishika tu swichi nikasema iwake, na ghafla taa ikawaka kama kawaida.

Watu walikaa kimya kwa muda.

Mfano wa tatu ulitokea nilipokuwa nje nacheza.

Kulikuwa na kitu kidogo nilichokuwa nacho mkononi kama sarafu. Niliitupa juu halafu kwa sekunde chache ilikaa hewani bila kuanguka mara moja. Ilikuwa kama imesimama kidogo hewani kabla haijarudi chini. Watu wawili waliokuwa karibu waliona hilo.

Walishangaa sana.

Mfano wa nne ndio uliwashangaza zaidi watu wazima.

Kulikuwa na glasi iliyoanguka na kuvunjika vipande vipande. Nilivikusanya vile vipande nikaviweka pamoja, nikavishika kwa mikono yangu kwa sekunde chache… halafu vile vipande vilikaa pamoja tena kama havikuvunjika kabisa.

Watu waliokuwa pale hawakuongea kwa muda.

Na mfano wa tano ndio ulionifanya nijue uwezo huo ulikuwa wa kweli.

Nikikia na uwezo wa kufungua madirisha au milango kwa kuiangalia tu kwa macho na kuifikiria ikiwa inafunguka au kufunga nayo inafanya hivyohivyo kama nilivyoifikiria akilini.

Baada ya hapo, mambo hayo yalianza kupungua polepole kadri nilivyokuwa nakua.

Mpaka sasa ni nadra naona kama yamepotea.

Lakini ukweli ni kuwa…
nilipokua mdogo miujiza ilikuwa inatokea mbele yangu, na wakati mwingine mikononi mwangu kabisa.

"ikawaje"
 
Afu mnataka nchi hii sku moja ije kuwa na nguvu kijeshi kama USA, Israel, Iran, Russian na n.k,msahahau kwa huu ufala
Kwenye agencies za kijasusi za developed countries huwa wanazingatia sana wale waliojaaliwa sixth sense(instincts/machale) and this is an inborn gift, hii imeokoa watu wengi from a lot of dangers.
Instincts is the shit that you can't be taught, it's an inborn shit.
 
Mkuu wenzetu wana workshops wanazofundisha hizi psychic abilities. Mwaka 1972 CIA waliwahi kuwa na programu waliyoiita project stargate ambapo walikuwa wanatumia "remote viewing"(The ability to see things and events that are happening far away) na ni programu iliyodumu kwa miaka 20.
 
Kurudi sidhani kama ni rahisi, back in the day nilikuwa na uwezo wa ku predict kinachokuja kutokea mbele yangu yaani sometimes images kabisa naziona. Sixth sense I mean ambayo kwa sasa kwangu imepotea, maisha ya deals kama unaweza ku sense 💰 au ku sense danger huwa ni faida sana lakini ikipotea hiyo ni songombingo tupu kwenye harakati husika.
Nilishawahi kuuliza sababu ya nguvu za aina hiyo kuwepo(normally I don't believe in things that cannot be proved scientifically so this is a tag of war within me) nikaambiwa kuwa you only possess those kinds of powers when you are 'clean and pure'.
Hii ni kweli kabisa. Mara nyingi dhambi ndio zinawatoa watu kwenye reli. Hata mimi nikiwa mdogo nilikuwa nafanya kwa kusema tu, purely miujiza. Mimi naukumbuka wa kukata mvua ilikuwa kama mvua inanyesha nikiiambie ikatike vile namaliza kusema moyoni tu imekatika na nikisema nyesha inaanza tena. Lakini baada ya kukua hilo halipo tena. Kipindi kile nilikuwa clean and pure sina makandokando yoyote, moyo safi. Lakini sasa ni Mungu tu atusaidie.
 
Back
Top Bottom