UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 17,375
- 8,666
Tunapokuwa tunaanza kufikiri kwa kutumia mantiki zaidi na ndivyo jamii inavyotaka ndio maana hata hapa utaona watu jinsi wanavyopokea hayo mnayoeleza humu kwa kuona kama ni kuchanganiyikiwa tu, hivyo unapokuwa unakutana na ukosoaji na unajikuta pia unajenga hali ya kujitilia mashaka mwenyewe.Hii ni kweli kabisa. Mara nyingi dhambi ndio zinawatoa watu kwenye reli. Hata mimi nikiwa mdogo nilikuwa nafanya kwa kusema tu, purely miujiza. Mimi naukumbuka wa kukata mvua ilikuwa kama mvua inanyesha nikiiambie ikatike vile namaliza kusema moyoni tu imekatika na nikisema nyesha inaanza tena. Lakini baada ya kukua hilo halipo tena. Kipindi kile nilikuwa clean and pure sina makandokando yoyote, moyo safi. Lakini sasa ni Mungu tu atusaidie.
Kwahiyo mwishoni unajikuta unakandamiza huo uwezo na kuupoteza.