Nilipokosa cha kufanya kwa simu yangu nikaamua kutongoza customer care

🍵 ☕️
 
Karma

😅 pole sana ndugu
Hizi changamoto zipo hata kwa mtoto wa kike to agent wa kiume,wanasumbua vivyo hivyo

Umenikumbusha mbali.
 
😂😂😂 ulikuwa unajilipa nje ya mshahara
 

Mkuu nakuhakikishia kua nikipewa hata million 2 sitaanguka hata kama nitazitumia kwenye ulevi maan nitaajiri vijana hata wawili wa kunibeba nisianguke🤣🤣
 
Kwhy kiongozi unataka kusema kuwa mtoto wa kike ashawahi kutafuta
Hahahah hapana
Namaanisha sometimes wana tabia kama hizi ulizojielezea kwa customer cares wa kiume ila si direct.
Nilifanya kazi kama call centre agent V, Mara chache inatokea “KE” anapiga simu baada ya kutatuza tatizo anaanza “Kaka unasauti nzuri ,huku anacheka Cheka n.k” so Ukiwa Fisi utajikuta unaenda zaidi ya yaliyokupeleka kazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…