Nilipoagiza mzigo AliExpress nikakumbana na rungu la kodi

Nilianza kuagiza mizigo midogomidogo (small parcel ) miaka mitatu iliyopita na sijawahi kulipa kodi zaidi ya ile tsh 2350 ila mwaka huu nikapata shauku ya kuagiza mzigo kwa ajili ya biashara niliagiza saa pieces kama 20 pamoja na airpod

Mzigo wangu ulichukua takribani siku 12 tu toka china hadi TZ ulipofika nikatumiwa sms na posta inayoanza na RDP baada ya kwenda posta nikaambiwa nilipe 5900 kisha nikapelekwa kwa maafisa wa TRA aisee jamaa wakaufungua mzigo na kuanza kuukagua wakafanya mahesabu yao kisha nikaambiwa nilipekodi nusu ya gharama niliyonunulia bidhaa

Hiki kitu kwangu kilikua kigeni ndo mara ya kwanza kukutana nacho.

SWALI, je kipi ni nafuu kati ya kuagiza mzigo pc 50 za airphone aliexpress na sehemu nyingine kama alibaba maana sijawahi agiza sehemu nyingine tofauti na aliexpress

Wakati mwingine ukiwa unaagiza angalia shipping method. Nzuri ni ile Aliexpress standard shipping, ambayo mizigo wanasafirisha kwa Speedaf, haipiti posta.
Utaona tracking namba inaanzia na TZR……
Mizigo inafika haraka sana, na wala hawakucharge kodi.

Last week nmetoka kupokea simu 3, na sijawa charged hata one cent!
 
Wakati mwingine ukiwa unaagiza angalia shipping method. Nzuri ni ile Aliexpress standard shipping, ambayo mizigo wanasafirisha kwa Speedaf, haipiti posta.
Utaona tracking namba inaanzia na TZR……
Mizigo inafika haraka sana, na wala hawakucharge kodi.

Last week nmetoka kupokea simu 3, na sijawa charged hata one cent!
Sawa mkuu nipe location ya ofisi ya speedaf ikiwezekana hata mawasiliano yao niwacheki wanipe mwongozo
 
Atx kitu chengine na itx chengine kua makini, agizishia case model sawa na motherboard, even Micro Atx ni kubwa kuliko mini itx, mini itx ni vile vi motherboard vidogo hivyo case zake zinakuwa ndogo na kupelekea gharama ya usafiri kuwa ndogo.

Hao jamaa wa Livingstone unaweza ongea nao, then unaongea na seller wa Alibaba unamuambia una usafiri wako wakupelekee ofisi zao.

Case pia kibongo bongo zipo fanya comparison mwenyewe. Capricon as cheap as 150,000, wengine wengi wanauza around laki 2.
Shukran sana mkuu, nafikiri bora tukacheki kibongo bongo itakua fresh zaidi.
 
Wakati mwingine ukiwa unaagiza angalia shipping method. Nzuri ni ile Aliexpress standard shipping, ambayo mizigo wanasafirisha kwa Speedaf, haipiti posta.
Utaona tracking namba inaanzia na TZR……
Mizigo inafika haraka sana, na wala hawakucharge kodi.

Last week nmetoka kupokea simu 3, na sijawa charged hata one cent!
Nikusahihishe kidogo.
Standard shipping haikupi uhalali wa kutumiwa Moja kwa Moja Speedaf maana AliExpress ndio wanaamua wakutumie posta au speedaf so kama unataka utumiwe kwa Speedaf omba AliExpress wakutumie kwa njia hiyo sababu ukiwaomba seller Huwa wanajibu kwamba hawatumi nje ya system.
Cha muhimu hilo zoezi fanya kabla ya malipo kwa kufuata hatua hizi:-
1680892465478.jpg


1.Bofya hapo kwenye mshale itatokea sehemu ambayo utaweza kuwapa maagizo AE wakutumie kwa Speedaf.
Screenshot_20230407-212852.png

2.Ukishamaliza kuwapa ujumbe ndio ubonyeze confirm kuplace order.
NB:
1. Cainiao super economy Global (hizi ni Speedaf ila vizuri kuweka msisitizo)
2.cainiao super economy for special goods (posta)
 
Issue ya Aliexpress mkuu hawaruhusu kutuma pale pale china, inabidi ununue china website zao, ama uongee na mtanzania alieopo china akusaidie kununua na kupeleka. Ila Alibaba unaweza sema sio wote wanauza piece 20 inabidi uhangaike. Pia kuwa makini usikubali kulipa mtu hela bila kupitia Alibaba, maana watu wanapigwa sana hii issue.

Na hawa jamaa wa parcel huwa fee yao kodi ni inclusive, ukilipa umelipa, Serikali inachukua kwenye hio fee. Ila kaongee nao zaidi kupata uhakika.
Mkuu china website gani ambazo ni maarufu hapa bongo halafu nyingi naona ni kichina tu na vipi nikinunua vitu vya electronic kama simu au smartwatch je zinakua na lugha ya kiingereza au ndo kichina tu?
 
Mkuu china website gani ambazo ni maarufu hapa bongo halafu nyingi naona ni kichina tu na vipi nikinunua vitu vya electronic kama simu au smartwatch je zinakua na lugha ya kiingereza au ndo kichina tu?
Website za kichina zinazoship china rahisi kutumia ni hio Alibaba.

Nyengine kuna hao kina Taobao, Tmall etc sema hizi ni za kichina na zinataka uzoefu.

Kuhusu bidhaa inategemea na brand, Brand za kimataifa zitakua na kingereza ila local brands ipo possibility ukanunua kitu kikawa kichina tupu.
 
kama unataka kununua bidhaa alibaba kwa jumla huna agent nitafute inbox nikupe agent wanaosafirisha mizgo ofisi zao zote zipo hapo k/koo

Na ukitaka ushauri zaidi karibu inbox
 
Unahitaji case ngapi mkuu? Mimi niko SA tufanye biashara +26772982286
mkuu na mimi nina swali hapo, kuna jamaa anahi taji kuagiza case ya PC, kuangalia AliExpress unakuta Case nyingi ni mini ITX ambazo zina gharama ndogo ya usafiri, ukicheki zingine unakuta bei 100,000 usafiri 650K, ila alibaba nilizicheki kwa bei nzuri ila usafiri ndo nkashindwa namna ya kufanya, make unakuta wame andika sijui utaelewana na seller sasa, nashindwa nitapataje usafiri.
Alafu pia mini ATX motherboard je itatoshea kwenye case ya namna gani ili nisije muingiza chaka mshkaji wangu make ananitegemea mimi, na je kibongo bongo naweza pata bila kuagiza.
 
CBM ina maanisha Cubic Metre, yaani mita 1 upana mita 1 urefu, mtaani huko wanaita Belo/Bales.

Kwa uagizishaji wa piece 20 njia hizo hazifai maana CBM ni kama $400 mpaka $500 kutegemea na unamtumia nani kusafirisha.

Kwa order kidogo kama hizo tumia Air Cargo ama wale wanaoleta kwa kilo kilo. Livingstone na Pemba kkoo wapo. Kilo ni kama 30,000
Hivi upangaji wa kodi na usafirishaji kuna chart imewekwa kuonyesha au watu wanalopoka tu na kama kuna utaratibu unaweza kunionyesha napataje
 
Back
Top Bottom