LaRosa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2020
- 952
- 2,875
Salaam wakuu!
Nina zaidi ya wiki 5 sijapata mzigo wangu toka AliExpress na kwa Sasa sioni tena any added information and updates za maendeleo ya mzigo wangu toka tracking app.
Na siwezi kufika Dar kuulizia pale posta sababu naishi Zanzibar kwa sasa. Hivyo dhumuni la Uzi huu ni kuomba Kama Kuna mtu ana mawasiliano na afisa au staff and yeyote wa posta anisaidie namba zake ili nifanye kuulizia hata kwa simu.
Nitafurahi Kama nitapata msaada coz naamini jf ni pana na ina kila kitu.
Manguli na manyalali tafadhalini cc Chief-Mkwawa Mwl.RCT