Nilipata ajali na Mungu akaninusuru

kama ulisaidia kuwa chomesha ukasababisha shida siwezi kukupa pole... maana kuna wale watu unaweka sukari yao ndani baada ya kupanda bei mnakuja mnaanza kutaifisha jibu ndo kama lako una simamia ukweli wakati wengine wako wana umia kwa pesa zao.
 
Ndio malipo ya usaliti uliowafanyia wapiga kura
 
Kuna kitu anaficha Kama asiposema mm nitakisema Nampa siku 2 nilikuwepo huo ukanda wakat wa Hilo sakata la ukamataji wa hizo pamba
...Nawe utakuwa in Wale Wale tu! Unaona MTU ha kusema anachopaswa kusema halafu bado unampa Siku Mbili Akiseme!!

Wewe kwa nini Usikiseme moja kwa moja.. Mpaka umtishie Kwanza?? Wale Wale...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…