Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 20,564
- 41,329
Wadada wa kibongo story zenu ni za kukataa kuliwa tu muda wote na mnaona sifa njooni Eswatin au Gaborone muone kupata nyama kali ni rahisi mno kuliko hata kununua nyanya..
Wala hakuna popote😂😂😂unawapelekaga wapi
Umri una husiana na nini hapo?Una umri gani my daughter?
Kuna jambo nimetumwa na mchungaji nikamfikishie in personUnataka ukajaribu bahati yako?😛
Hakuna kilichofanyika nilikuwa mkali sana😂😂😂Wewe uliutaka, ghetto kwake ulifata nini na unajua bachela..!!
Nwei vipi mlitumia kinga au mnapuuza tangazo la Trump 😹
Hapa huna hisia Naye Ila yeye anazo,laiti ungekuwa umedatta kwake ungekuja kulalamika unavyomtega Ila hajiongezikaka au rafiki wa kiume.
Angeniambia mapema nisingeendaUmekuja machinjoni hutaki kubakwa
Haaaa haaa 😄Wewe uliutaka, ghetto kwake ulifata nini na unajua bachela..!!
Nwei vipi mlitumia kinga au mnapuuza tangazo la Trump 😹
I am looking forward to receiving your address. Thanks.Akhuuu😂😂😂 naijua hiyo
Kuna mawili ungejiandaa Au usingeenda.Angeniambia mapema nisingeenda
Angekuwa mstaarabu ningevutiwa naye shida hakutaka kulaza damuHapa huna hisia Naye Ila yeye anazo,laiti ungekuwa umedatta kwake ungekuja kulalamika unavyomtega Ila hajiongezi
Mlienda round ngapi?Hakuna kilichofanyika nilikuwa mkali sana😂😂😂
Acheni kumsumbua mama wa watu kwa mambo ya kijingajinga.Wewe mtu mzima anajipeleka kwenye nyumba ya mwanaume hata haujamfahamu vizuri alitaka wasome biblia.Mpeleke ustawi wa Jamii, au muite Waziri Gwajima akupe mwongozo.
Mchungaji hutuma watu wawili au watatu lakini mwenyewe mmm😄😄😄Kuna jambo nimetumwa na mchungaji nikamfikishie in person
😂😂 aisee hatariMlienda round ngapi?
Harage aliinjika na moto wa kawaida au gesi? 😹
Mimi nitaongozana na Mrs, hivyo jumla tutakuwa wa3 na she will be safe too.Mchungaji huruma watu wawili au watatu lakini mwenyewe mmm😄😄😄
Binadamu wa siku hizi ni wabishi sana😂😂Mlienda round ngapi?
Harage aliinjika na moto wa kawaida au gesi? 😹