Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

MAINTAIN SOCIAL DISTANCE

8A9A3E23-2AB7-44EF-9CCE-4A566C7061AD.jpeg

mkiendelea kukaa karibu
Episode 2 itaendelea
With another new thread ingn ikipostiwa
 
Wanawake bana 😄! Mwanaume sio ndugu yako eti anakualika uende nyumbani kwake yuko peke yake na wewe unakubali ati ni rafiki yako hahaha! Unaingia ndani mko wawili tu, mnapika mnakula halafu unakuja kushangaa eti kukuomba mzigo ulitegemea nini kwa mazingira hayo?? Acheni kujifanya hamtaki mnavyovitaka
 
M
Kuna kijana alikuja kupata huduma ofisini kwetu akawa amechukua namba yangu yeye ana ofisi yake huko town anauza viatu vya kike.

Mwanzoni alikuwa mpole tukawa tunawasiliana vizuri tu, kwa vile ana ofisi yake nikajua atanipa ushauri mzuri wa biashara na kujiajiri hivyo nikawa nimemuamini, na kumchukulia kama kaka au rafiki wa kiume.

Ikatokea siku akanialika kwake nikitoka kazini, kwakuwa siyo mbali na ofisini kwetu nilivyotoka nikaenda, tukakaa tukapiga story tukala chakula, baada ya hapo nashangaa mtu mara anisogelee atake kunishika, akaninyanyua kanipeleka chumbani weee hapa nilibadilika nikawa mbogo, maana mimi sikujia hayo mambo iweje atake kunibaka bila ridhaa yangu kisa nimekuja kwake ndiyo aone kuwa nimekubali kila kitu.

Tulivutana sana hiyo siku nakumbuka, mimi hadi nimefura kwa hasira ndiyo kumlazimisha akanipeleka home maana ana usafiri wake, tangu hiyo siku nimetoka sijapokea simu yake wala kujibu meseji zake, nimemuona ni mwanaume wa hovyo sana tangu lini mapenzi yakalazimishwa? Mwache mwanamke akupe kwa kuridhia mwenyewe.
Mie ningekupiga mpapaso wa hatare na bembelezo hujawahi pewa ningekukula tuuuuu, sema jamaa hajui kubembeleza, Yani ningekunyonya mpaka mate maaaamae usingechomoka bure na lazma skuingine ungetaka turudie shoo mwenyewe
 
Wanawake bana 😄! Mwanaume sio ndugu yako eti anakualika uende nyumbani kwake yuko peke yake na wewe unakubali ati ni rafiki yako hahaha! Unaingia ndani mko wawili tu, mnapika mnakula halafu unakuja kushangaa eti kukuomba mzigo ulitegemea nini kwa mazingira hayo?? Acheni kujifanya hamtaki mnavyovitaka
Wapo lakini wanaume wanaojielewa
 
Wanawake bana 😄! Mwanaume sio ndugu yako eti anakualika uende nyumbani kwake yuko peke yake na wewe unakubali ati ni rafiki yako hahaha! Unaingia ndani mko wawili tu, mnapika mnakula halafu unakuja kushangaa eti kukuomba mzigo ulitegemea nini kwa mazingira hayo?? Acheni kujifanya hamtaki mnavyovitaka
Kwahiyo wewe huwezi kuwa na urafiki na mwanamke?
 
Back
Top Bottom