Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,713
- 11,612
Umejuaje? Tena karudishwa nyumbani na gari. Kaliwa, atuambie vizuri. La si hivyo hii ni chai ☕️Hapana hajaliwa huyo!
Umejuaje? Tena karudishwa nyumbani na gari. Kaliwa, atuambie vizuri. La si hivyo hii ni chai ☕️Hapana hajaliwa huyo!
Ndiyo uniseme ivi,nakuniachia manyoya🤣🤣Kwa usafiri gani, hiyo boda boda😂😂
Wapo wengi tu wenye mivuto na wako singleSio wanawake wana mvuto. Mimi nafamishe zangu maeneo mengi Dar. Kwasiku naweza kuvutiwa na bidada mmoja au nisione!
Hata mimi sipendaji jinsia ya kike kuniita kaka! Masikhara!Kwanza huo n uchawi ,mtu hajazaliwa na mama yako we umekazana kaka,kaka Kwan kaka zako huwajuhi?
Hana gari ana boda boda ya kwendea kazini kwakeUmejuaje? Tena karudishwa nyumbani na gari. Kaliwa, atuambie vizuri. La si hivyo hii ni chai ☕️
Siku nyingine uwe unaomba kistaarabu sawa naniii😂😂Ndiyo uniseme ivi,nakuniachia manyoya🤣🤣
Hapana siwezi kumpa mtu nisiye na hisia nayeUngempa tu kidunchuuuu.
Single sawa lakini "k" zimeishatembea kilometer nyingi. Wengine viza/samakisamaki/dagaa 😁Wapo wengi tu wenye mivuto na wako single
Usalama ni zeroIkatokea siku akanialika kwake nikitoka kazini, kwakuwa siyo mbali na ofisini kwetu nilivyotoka nikaenda, tukakaa tukapiga story tukala chakula, baada ya hapo nashangaa mtu mara anisogelee atake kunishika, akaninyanyua kanipeleka chumbani weee
Huzuni sanaNi huzuni.
Ungeniachia niguseguse🤣🤣Siku nyingine uwe unaomba kistaarabu sawa naniii😂😂
Wengine hawanaga akili hiyo, akitimiza azima yake ndiyo anakumbuka kama amebaka na hakutumia kinga.Yaani ni mpumbavu sana mambo ya kubakana ya zamani sana, wanawake walivyo jaa siku hizi unaanzaje kubaka
Hisia zinajengwaHapana siwezi kumpa mtu nisiye na hisia naye
Angalia yenye afadhali tu 😂😂Single sawa lakini "k" zimeishatembea kilometer nyingi. Wengine viza/samakisamaki/dagaa 😁
Kwa tabia yake aliyonionyesha zisingeweza kujengekaHisia zinajengwa
Ha ha ha haUmejuaje? Tena karudishwa nyumbani na gari. Kaliwa, atuambie vizuri. La si hivyo hii ni chai ☕️
Alinitoa kwenye moodBora ulikataa