Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

tukakaa tukapiga story tukala chakula, baada ya hapo nashangaa mtu mara anisogelee atake kunishika, akaninyanyua kanipeleka chumbani
FB_IMG_1743756954341.jpg
 
Kuna kijana alikuja kupata huduma ofisini kwetu akawa amechukua namba yangu yeye ana ofisi yake huko town anauza viatu vya kike.

Mwanzoni alikuwa mpole tukawa tunawasiliana vizuri tu, kwa vile ana ofisi yake nikajua atanipa ushauri mzuri wa biashara na kujiajiri hivyo nikawa nimemuamini, na kumchukulia kama kaka au rafiki wa kiume.

Ikatokea siku akanialika kwake nikitoka kazini, kwakuwa siyo mbali na ofisini kwetu nilivyotoka nikaenda, tukakaa tukapiga story tukala chakula, baada ya hapo nashangaa mtu mara anisogelee atake kunishika, akaninyanyua kanipeleka chumbani weee hapa nilibadilika nikawa mbogo, maana mimi sikujia hayo mambo iweje atake kunibaka bila ridhaa yangu kisa nimekuja kwake ndiyo aone kuwa nimekubali kila kitu.

Tulivutana sana hiyo siku nakumbuka, mimi hadi nimefura kwa hasira ndiyo kumlazimisha akanipeleka home maana ana usafiri wake, tangu hiyo siku nimetoka sijapokea simu yake wala kujibu meseji zake, nimemuona ni mwanaume wa hovyo sana tangu lini mapenzi yakalazimishwa? Mwache mwanamke akupe kwa kuridhia mwenyewe.
Kila siku wewe tu ndio wanakutaka ila huwataki.
Itakuwa unapitia msongo wa mawazo unakuja apa kupata kampani au wewe ni Lidume.
 
Hapo naona jamaa hakupenyeza rupia mapema, yote haya tusingeliyajua, hata mimi mwanamke yeyote aliyekuwa sio maharim yangu akiingia geto simwachi, labda asitake mwenyewe tu kutombwa, vyenginevyo nakupelekea moto vizuri japo siwezi kukufosi kama hutaki. Na ukikataa hautarudi tena nyumbani kwangu kwa sababu utakuwa umenifanyia ukatili mkubwa sana kuninyima papa yako.
Mh! Hii hatari sana
 
Madem kama nyie huwa siwa intertain. Nakupa hii, Hakuna ME atajenga ukaribu na wew wa kimawasiliano kama hataki Kitumbja chako, full stop. Kama hutaki kuliwa acha ukaribu na mtu.
Wew pia ni ile type ya videm havina akili😀 umenikera, unakulaje kitimoto cha mtu, upande gari lake, uende kwake, apo unashindwa kujiongeza nini apo, Uwe unajiongeza basi🤣
Our balls are full often, they need to be emptied 🤔
Siku nyingine ntajiongeza ntakuja kuwapa na mrejesho 😎
 
Back
Top Bottom