Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

Kuna kijana alikuja kupata huduma ofisini kwetu akawa amechukua namba yangu yeye ana ofisi yake huko town anauza viatu vya kike.

Mwanzoni alikuwa mpole tukawa tunawasiliana vizuri tu, kwa vile ana ofisi yake nikajua atanipa ushauri mzuri wa biashara na kujiajiri hivyo nikawa nimemuamini, na kumchukulia kama kaka au rafiki wa kiume.

Ikatokea siku akanialika kwake nikitoka kazini, kwakuwa siyo mbali na ofisini kwetu nilivyotoka nikaenda, tukakaa tukapiga story tukala chakula, baada ya hapo nashangaa mtu mara anisogelee atake kunishika, akaninyanyua kanipeleka chumbani weee hapa nilibadilika nikawa mbogo, maana mimi sikujia hayo mambo iweje atake kunibaka bila ridhaa yangu kisa nimekuja kwake ndiyo aone kuwa nimekubali kila kitu.

Tulivutana sana hiyo siku nakumbuka, mimi hadi nimefura kwa hasira ndiyo kumlazimisha akanipeleka home maana ana usafiri wake, tangu hiyo siku nimetoka sijapokea simu yake wala kujibu meseji zake, nimemuona ni mwanaume wa hovyo sana tangu lini mapenzi yakalazimishwa? Mwache mwanamke akupe kwa kuridhia mwenyewe.
Huna akili
 
Ukubwa wa Utajiri wa mtu unatokana na vitu vitatu tuu(3)
#1. Matumizi ya Muda wa mtu
#2. Uwezo wa Akili
#3. Material alizonazo.
Ukiona unashawishika kumfuata mtu ili akushauri...means utatumia muda wake na Akili yake(1&2) ili kukunufaisha wewe(Customer)...Dunia haikuumbwa kwa ajiri ya Ubure Bure!
 
Madem kama nyie huwa siwa intertain. Nakupa hii, Hakuna ME atajenga ukaribu na wew wa kimawasiliano kama hataki Kitumbja chako, full stop. Kama hutaki kuliwa acha ukaribu na mtu.
Wew pia ni ile type ya videm havina akili😀 umenikera, unakulaje kitimoto cha mtu, upande gari lake, uende kwake, apo unashindwa kujiongeza nini apo, Uwe unajiongeza basi🤣
Our balls are full often, they need to be emptied 🤔
 
Mimi nimeshangaa sana huyu kijana kwanza anaonekana ana mademu kibao nikajua mimi atanichukulia kama mdogo wake tu loh! Kumbe alikuwa ananipigia mahesabu nikimaliza kula kitimoto anile na mimi
Na ungeliwa kweli!
Next time usirudie hata kwa mwanaume mwingine yeyote.
 
Madem kama nyie huwa siwa intertain. Nakupa hii, Hakuna ME atajenga ukaribu na wew wa kimawasiliano kama hataki Kitumbja chako, full stop. Kama hutaki kuliwa acha ukaribu na mtu.
Wew pia ni ile type ya videm havina akili😀 umenikera, unakulaje kitimoto cha mtu, upande gari lake, uende kwake, apo unashindwa kujiongeza nini apo, Uwe unajiongeza basi🤣
Our balls are full often, they need to be emptied 🤔
It is the last sentence for me oooh 🤣🤣
 
Hapo naona jamaa hakupenyeza rupia mapema, yote haya tusingeliyajua, hata mimi mwanamke yeyote aliyekuwa sio maharim yangu akiingia geto simwachi, labda asitake mwenyewe tu kutombwa, vyenginevyo nakupelekea moto vizuri japo siwezi kukufosi kama hutaki. Na ukikataa hautarudi tena nyumbani kwangu kwa sababu utakuwa umenifanyia ukatili mkubwa sana kuninyima papa yako.
 
Lakini na nyie mnazingua! Eti nilimuona kama kaka yangu au rafiki wa kiume ... nilienda anipe ushauri wa jinsi ya kujiajiri.... Mweeeh! Hakuna kitu kama hicho. Nyote mlizingua! Na yeye angekuandaa na kuchukulia fursa kutega nyavu akunase kimasihara! Ona sasa, kamwaga mboga, wewe ugali! Mmekosa nyote!
Wewe wala usimfanyie papara huyu atarudi mwenyewe nakuhakikishia, na mara hii ataondoka na mimba kudadeki
 
Mshenzi sana huyu kijana kwanini hakuomba tangu sijafika si wenzie ndiyo huwa wanafanyaga hivyo
Hapana hatufanyi hivyo, sisi watu wazima ukiitwa geto ukienda huwa ushakubali kubanjuliwa sasa huo wako wewe ni utoto, kwani una umri gani tuanzie hapo kwanza
 
Back
Top Bottom