Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

Sasa umelileta hilo jambo huku la nini!!

Eniweiz, hivi unapata wapi nguvu za kwenda magetoni kwa kijana 'uliyemchukulia kama kaka yako'!?
 
Shida si ndo hiyo imekutokea au? ...
anything can happen any time ukiwa na mwanaume peke yenu unless ni baba au kaka yako wa kuzaliwa because just a small glimpse can turn a man on..
Nimejifunza sitarudia tena mkuu?
 
Hayo mambo mazuri aliyafanya kwasababu alihitaji kunitafuna, na pia hiyo connection hata sikupata na kwasasa sitaki mawasiliano naye tena
Point No 3 mama, alijiridhisha kwamba hawezi kupewa utelezi kutoka kwako BUT the guy was so nice, alikupeleka kwako kiroho safi kabisa. Sina hakika kwenye gari mlikua mnaongeaje au mlikua kama mabubu.
Mwishoni mwa siku, sitashangaa nikisikia mmekua marafiki wa kubwa huko mbeleni; mapenzi kitu cha ajabu sana
 
Point No 3 mama, alijiridhisha kwamba hawezi kupewa utelezi kutoka kwako BUT guy was so nice, alikupeleka kwako kiroho safi kabisa. Sina hakika kwenye gari mlikua mnaongeaje au mlikua kama mabubu.
Mwishoni mwa siku, sitashangaa nikisikia mmekua marafiki wa kubwa huko mbeleni; mapenzi kitu cha ajabu sana
Siwezi kuwa na urafiki na mtu mwenye tamaa ya ngono
 
Back
Top Bottom